| Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi (katikati) akikata utepe kuzindua Tawi jipya la Benki ya Biashara Mkombozi Mkoani Iringa hivi karibuni huku viongozi wakishuhudia tukio hilo. Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya Mkombozi, Bw. George Shumbusho na Askofu wa Jimbo la Iringa, Tarcisius Ngalalekumtwa. |
No comments:
Post a Comment