| Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa pili kushoto), akipewa maelezo kuhusu huduma na bidhaa za kibenki zitolewa na Benki ya NBC na Mkuu wa Kitengo cha Uhai wa Wateja wa benki hiyo, Gaudence Shawa wakati wa maonyesho ya mifuko ya uwezeshaji, programu na vikundi vya kifedha yaliyoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) na kumalizika juzi katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani Mbeya. |
No comments:
Post a Comment