Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 11 May 2018

WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ISRAEL

Waziri Mkuu wa Israel, Mhe. Benjamin Netanyahu (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga kwa ajili ya kufanya mazungumzo jijini Jerusalem, Israel jana. Wawili hao walikubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, elimu, afya, utalii na uwekezaji.
Waziri Mkuu wa Israel, Mhe. Benjamin Netanyahu akiwa tayari kuanza mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga. 
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga ukiwa katika mazungumzo rasmi na Mhe. Netanyahu.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment