Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 11 May 2018

WAZIRI MAHIGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga akipeana mkono na Waziri wa Ulinzi wa Israel, Mhe. Avigdor Liberman walipokutana jijini Tel Aviv Jumatano asubuhi kwa ajili ya kufanya mazungumzo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga na ujumbe wake (kulia) na Waziri wa Ulinzi wa Israel, Mhe. Avigdor Liberman na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo ambapo walijadili masuala mbalimbali ikiwemo kushirikiana katika masuala ya ulinzi na usalama.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga wa kwanza kulia na akifuatiwa na Balozi wa Tanzania nchini Israel, Mhe. Job Masima na Afisa Dawati wa Israel, Bi Kisa Mwaseba wakiwa katika mazungumzo na ujumbe wa Israel.
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Mhe. Avigdor Liberman wa kwanza kulia akisisitiza jambo kwenye mazungumzo hayo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment