Huu ndiyo muonekano wa nguzo za daraja la treni (SGR) lenye urefu wa kilomita 2.9 ambalao litaanzia Stesheni ya Posta jijini Dar Es Salaam hadi Ilala Shauri Moyo. Kazi kubwa ya daraja hili ni kupunguza muingiliano wa magari na treni hiyo hasa kutokana na kasi yake ya kukimbia kilomita 160 kwa saa, pamoja na mfumo wake wa umeme.
No comments:
Post a Comment