| Mkrugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kulia), akikabidhi cheti cha shukurani kwa Mkurugenzi wa Fedha wa Vodacom Tanzania, Jacques Marais ambapo kwa ushirikiano wa pande zote mbili kulisababisha kukamilika kwa zoezi hilo lililovunja rekodi katika historia ya Soko la Hisa la Dar es Salaam ambapo zaidi ya watanzania 40,000 walijitokeza kununua hisa za Vodacom huku NBC ikipewa jukumu la kuhakikisha kuwa mauzo yote ya hisa hizo yanapitia katika benki hiyo na kuhakikiwa. |
No comments:
Post a Comment