Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 15 August 2017

RAIS WA MISRI ABDEL FATTAH AL SISI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU MBILI APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AGOSTI 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Agosti 14, 2017 Jijini Dar es salaam. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Agosti 14, 2017 Jijini Dar es salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa wamesimama kwa ajili ya nyimbo za Mataifa yote mawili na mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Agosti 14, 2017 Jijini Dar es salaam.
Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi akikagua gwaride la heshima lililo andaliwa na jeshi la Wananchi kwa ajili ya heshima yake mara baada ya kumpokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Agosti 14, 2017 Jijini Dar es salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi wakiangalia ngoma za asili mara baada ya kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Agosti 14, 2017 Jijini Dar es salaam.
Ikulu Blog

No comments:

Post a Comment