| Maandalizi ya mwisho mwisho ya Maonyesho ya 40 ya Kimataifa ya Dar es Salaam, yamepamba moto, ambapo Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, amefanya ziaa ya kukagua maandalizi hayo. Pichani ni Waziri Mwijage akikagua maandalizi kwenye moja ya mabanda. Kulia ni Kaimu Mkuugenzi wa Tantrade, Edwin Rutageruka. Maonyesho hayo yanaanza kesho tatehe 28/6 - 8/7/2016. |
No comments:
Post a Comment