Prof Ninatubu Lema, kutoka Chuo cha Uhandisi na Teknolojia (CoET) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kujifunza utekelezaji wa mradi ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo. |
Wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano wa kujifunza utekelezaji mradi wa ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo. |
Wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano wa kujifunza utekelezaji mradi wa ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo. |
Muonekano wa Jengo linavyoonekana kwa nje. |
No comments:
Post a Comment