| Mkurugenzi asiye mtendaji wa kampuni ya ndege ya fastjet Balozi Ami Mpungwe, akizungumza na wasafiri wakati wa kuanzisha safari za ndege hiyo kwenda Nairobi kutokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi asiye mtendaji Lawrence Masha, Meneja Mkuu wa kampuni hiyo (Afrika Mashariki) Jimmy Kibati na Meneja wa Mahusiano kati ya fastjet na Serikali, Mhandisi August Kowero. |
No comments:
Post a Comment