| Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi waliosoma Shule ya Sekondari Mzumbe, ya mkoani Morogoro, Edwin Talawa akipokea msaada wa tani 30 za saruji kutoka kwa Meneja Huduma za Jamii na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Bi. Mtanga Noor (wa pili kushoto) zilizolewa na kampuni hiyo kusaidia ukarabati wa majengo ya vyoo, mabweni na ofisi za walimu za shule hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Saruji, Pongwe, Tanga jana. Wengine pichani ni maofisa wa kampuni na baadhi ya wanafunzi waliosoma Mzumbe. |
No comments:
Post a Comment