![]() |
| Mteja akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Aika Swai, anayewasikiliza ni Afisa Mauzo Mwandamizi wa NHC, Julieth Buberwa. |
![]() |
| Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akiingia kwenye viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba. |

No comments:
Post a Comment