| Meneja masoko wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Alina Maria Kimaryo (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa droo ya kwanza ya promosheni ya Kampeni ya akaunti za mishahara iliyopewa jina la ‘Mcheza Kwao’ jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Washindi 35 walijishindia zawadi mbalimbali za fedha taslimu na ofa za huduma ya mobile banking ya NBC. Kutoka kushoto ni Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Dorothea Mabonye, Meneja Malipo ya Mishahara wa benki hiyo, Amos Lyimo na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Humudi Abdulhussein. |
No comments:
Post a Comment