| Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya taifa ikulu jijini Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na wawatu kulia ni makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. |
No comments:
Post a Comment