| Watendaji mbalimbali wa NHC na Manispaa ya Ilemela wakimpokea Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi alipowasili kuweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Buswelu, Mwanza. |
No comments:
Post a Comment