| Kaimu Meneja Mkuu wa mgodi wa Buzwagi ulio chini ya Kampuni ya ACACIA, Ing. Mutereko Muganda (wa pili kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya zaidi ya shilingi za kitanzania millioni 800 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Bw. Felix Kimaryo (kulia) nje ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mh. Benson Mpesya (wenye tai). |
No comments:
Post a Comment