Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Saturday, 11 October 2014

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB TAWI LA MOSHI WAFURAHIA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakiwa katika picha ya pamoja. Aliyekaa ni meneja wa tawi hilo, Francis Mollel.

Baadhi ya wafanyakazi wa kike wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakiweka pozi la picha pembeni ya Keki.

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Moshi akikata keki kwa ajili ya wateja.

Keki maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa Benki ya CRDB tawi la Moshi wakati wa week ya huduma kwa wateja. (Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini).

No comments:

Post a Comment