Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Simon Delens, akizungumza wakati wa semina kuhusu utengenezaji bora wa matofali waliyowaandalia watengeneza matofali na wasambazaji wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Meneja Undelezaji Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Danford Semwenda, akitoa mada wakati wa semina kuhusu utengenezaji bora wa matofali waliyowaandalia watengeneza matofali na wasambazaji wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Meneja Afya, Usalama na ulinzi wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Alfred Anthony akizungumza wakati wa semina hiyo.
Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Tumaini Joseph akizungumza wakati wa semina hiyo waliyowaandalia watengeneza matofali na wasambazaji wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Ofisa mahusiano na Huduma kwa Weteja wa Kampuni ya Twiga Cement (TPCC), Martha Haule (kushoto) akizungumza katika semina hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa washiriki wa semina kuhusu utengenezaji bora wa matofali, Mary Kimaro (kulia) akipokea cheti kutoka kwa Meneja Uendelezaji wa Biashara wa Kampuni ya Twiga Cement (TPCC), Danford Semwenda mara baada ya kumalizika kwa semina hiyo iliyoandaliwa na TPCC jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Kushoto ni Meneja Afya, Usalama na Ulinzi wa kampuni hiyo, Alfred Anthony. (PICHA NA PETER MGONGO)

No comments:
Post a Comment