Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 25 September 2014

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAZINDUA KINYWAJI KIPYA AINA YA "JEBEL COCONUT"

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL), Ephraim Mafuru (katikati) akifafanua  jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, Steven Gennon (kulia) wakati wa uzinduzi wa kinywaji kipya cha Jebel Coconut, ambacho ni pombe kali.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Steven Gannon akitoa ufafanuzi wa kinywaji kipya aina ya Pombe kali, kinachojulikana kama Jebel Coconut wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Steven Gannon akimpongeza Meneja Uvumbuzi wa kampuni hiyo, Attu Mynah, wakati wa shughuli ya uzinduzi wa kinywaji kipya aina ya Jebel coconut, ambacho ni pombe kali, katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani), kinywaji kipya aina ya pombe kali, kinachojulikana kwa jina la Jebel Coconut wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Steven Gannon akizindua rasmi kinywaji kipya cha pombe kali, ambacho kinajulikana kama Jebel Coconut, huku kushoto ni Meneja Uvumbuzi wa kampuni hiyo, Attu Mynah, hafla hiyo ilifanyika katika hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Steven Gannon, (katikati) akizindua kinywaji kipya kinachojulikana kama Jebel Coconut, ambacho ni pombe kali. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko, Ephraim Mafuru na kushoto ni Meneja Uvumbuzi, Attu Mynah wote wa kampuni hiyo, hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Steven Gannon akipozi kwa picha na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada  ya uzinduzi wa kinywaji kipya ambacho ni pombe kali, ambacho kinajulikana kama Jebel Coconut. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Serena ya jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akiwamiminia waandishi wa habari kinywaji kipya ambacho ni pombe kali aina ya Jebel Coconut mara baada uzinduzi wa kinywaji hicho uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Ephraim Mafuru (kushoto) akimmiminia kinywaji kipya cha pombe kali inayojulikana kama Jebel Coconut, Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Evans Mlelwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa kinywaji hicho uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Steven Gannon (kushoto) akiwamiminia baadhi ya waandishi wa habari kinywaji kipya, ambacho ni pombe kali kinachojulikana kama Jebel Coconut, mara baada ya uzinduzi wa kinywaji hicho uliofanyika katika hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.

 
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakipozi kwa picha mara baada ya uzinduzi wa kinywaji kipya cha Pombe kali, kijulikanacho kama Jebel Coconut, ambapo hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment