Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Thursday, 4 September 2014

FINANCIAL AND INVESTMENT SERVICE WEEK 2014

Kwa siku 3 mfululizo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kutakuwa na maonyesho ya Financial Investment Service kwa udhamini wa Benki ya NMB.

Maonyesho yanayolenga kuelimisha jamii kuhusu maswala ya fedha na uwekezaji.

Maonyesho hayo yatamalizika siku ya Jumamosi tarehe 6 September 2014.


Mteja akipata maelezo mbali mbali kuhusu huduma za NMB alipotembelea banda la NMB katika viwanja vya Mnazi Moja.

Mteja akipata maelezo mbali mbali kuhusu huduma za NMB alipotembelea banda la NMB katika viwanja vya Mnazi Moja.

Wateja wakipata maelezo mbali mbali kuhusu huduma za NMB alipotembelea banda la NMB katika viwanja vya Mnazi Moja. 

Karibu katika banda la NMB.

No comments:

Post a Comment