MENEJA WA AZANIA BENKI LIMITED, TAWI LA KAHAMA, BWANA GEOFFREY MAHONA, AKIONGEA KWENYE SHUGHULI YA FUTARI ALIYOWAANDALIA WATEJA WA BENKI HIYO NA BAADHI YA WANANCHI WA KAHAMA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA KAHAMA HIVI KARIBUNI.
Source: Michuzi Blog
SHEIKH WA WILAYA YA KAHAMA, MKOANI SHINYANGA, SHEIKH OMAR DAMKA AKIONGOZA WATEJA NA WANANCHI WA KAHAMA WALIOALIKWA KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA TAWI LA KAHAMA HIVI KARIBUNI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA KAHAMA.
ALHAJ JAHA, AMBAYE NI MMOJA WA WATEJA WA AZANIA BANK LIMITED, NAYE ALIKUWEPO KWENYE FUTARI HII ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA TAWI LA KAHAMA KUWAFUTURISHA WATEJA WAKE WAISLAM NA BAADHI YA WANANCHI WAISALM WA KAHAMA HIVI KARIBUNI.
SEHEMU YA WATEJA KINAMAMA WA KAHAMA WALIOKUWEPO KWENYE SHUGHULI HIYO YA FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA KAHAMA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA KAHAMA HIVI KARIBUNI.
SEHEMU YA WATEJA NA WANANCHI WA KAHAMA WAKIFUTURU KWENYE FUTARI WALIYOANDALIWA NA AZANIA BENKI LIMITED, HIVI KARIBUNI MJINI KAHAMA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI.
Source: Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment