Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Thursday, 27 March 2025

LUSAKA AGREEMENT TASK FORCE, AFRICA TRANSFORMATIONAL INITIATIVE & UNIVERSITY OF WASHINGTON UNITE TO COMBAT WILDLIFE AND FOREST CRIMES IN EASTERN & SOUTHERN AFRICA

The Lead Instructor and Chairman of the Board of Advisors for the Africa Transformational Initiative, Mr Rod Khattabi speaks in Dar es Salaam on Wednesday. With him is the Deputy Minister for Natural Resources and Tourism, Mr Dunstan Luka Kitandula (centre) and the Director for Lusaka Agreement Task Force, Mr Edward Phiri (left).
The Director for Lusaka Agreement Task Force, Mr Edward Phiri speaks in Dar es Salaam on Wednesday. With him is the Deputy Minister for Natural Resources and Tourism, Mr Dunstan Luka Kitandula (centre) and the Lead Instructor and Chairman of the Board of Advisors for the Africa Transformational Initiative, Mr Rod Khattabi (right).

Dar es Salaam: In a major step forward in the fight against wildlife and forest crimes, the Lusaka Agreement Task Force (LATF), Africa Transformational Initiative (ATI), and the University of Washington’s Center for Environmental Forensic Science have teamed up to host a crucial five-day training workshop.

The five-day workshop, which ends tomorrow (Friday, March 28, 2025) at the Giraffe Beach Hotel in Dar es Salaam, Tanzania, has brought together 28 law enforcement officers from Tanzania, Malawi and Zambia.

The event, titled “Strengthening Law Enforcement Capacity in Investigative Techniques and Port Security to Combat Transnational Organized Crime,” addresses the growing threats of illegal activities such as wildlife trafficking and illegal logging in Africa. These illicit activities, estimated to generate between $7 billion and $23 billion annually, have devastating consequences for Africa’s biodiversity and ecosystems.

With wildlife trafficking decimating iconic species and illegal logging contributing to climate change and ecosystem degradation, the collaboration comes at a critical time. These crimes not only harm the environment but destabilize local economies and communities across the region.

Wednesday, 26 March 2025

ELECTRIC BIKES TAKE OFF: THE RISE OF E-MOBILITY IN TANZANIA’S RIDE-HAILING INDUSTRY


Arusha, 20th March 2025 – As motorcycles continue to be the backbone of transport systems in many East African countries, serving as taxis, delivery vehicles and personal transport, a shift towards battery powered, electric bikes and tricycles remains a huge anticipation for locals in the cities of Tanzania.

In recent months, Bolt Tanzania partnered with Green Wheels Tanzania to pioneer the integration of electric motorcycles (EV bikes) into the country’s ride-hailing sector, marking a major shift towards sustainable mobility.

This initiative is designed to encourage sustainability and create an additional ride option that resonates with the city's international community and tourists. More importantly, this initiative reduces costs for drivers and increases their earnings. With rising fuel prices, EV bikes provide a cost-effective alternative, significantly lowering daily operational expenses for ride-hailing drivers. This means higher earnings and improved financial stability for thousands of riders.

For other businesses, the adoption of electric transport aligns with their corporate sustainability goals. As the leading ride-hailing company in the country, Bolt sees itself setting a precedent for competitors and endorsing the culture of EV mobility, which is already thriving in the western world.

Tuesday, 25 March 2025

NBC YASHIRIKI UZINDUZI UWANJA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Uwanja mpya wa Airtel Stadium unaomilikiwa na klabu ya Singida Blacks Stars ya mkoani Singida wakati wa hafla ya uzinduzi wa uwanja huo iliyofanyika mkoani humo. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni ya Mawasiliano ya Airtel, Frank Filmany (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Klabu ya Singida Black Stars, Ibrahim Mirambo (kulia) na Mjumbe wa Bodi ya klabu hiyo, Festo Sanga.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (wa pili kulia) sambamba na wadau wengine wa mchezo wa mpira wa miguu na viongozi wa serikali wakikagua ubora wa uwanja mpya wa Airtel Stadium unaomilikiwa na klabu ya Singida Blacks Stars ya mkoani Singida wakati wa hafla ya uzinduzi wa uwanja huo iliyofanyika jana mkoani jana. Wengine ni pamoja na Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (kushoto mstari wa mbele), Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni ya Mawasiliano ya Airtel, Frank Filmany (wa pili kushoto – mstari wa mbele) Mwenyekiti wa Klabu ya Singida Black Stars, Ibrahim Mirambo (wa tatu kushoto,mstari wa mbele) na Mjumbe wa Bodi ya klabu hiyo, Festo Sanga (kulia).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa Singida Black Stars sambamba na wadau wengine wa mchezo wa mpira wa miguu na viongozi wa serikali wakati wa hafla ya uzinduzi wa uwanja mpya wa Airtel Stadium.

Singida, Machi 25, 2025: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya NBC imeshiriki kikamilifu kwenye uzinduzi wa uwanja mpya wa Airtel Stadium wa klabu ya soka ya Singida Black Stars uliopo mkoani Singida, huku ikielezea nia yake kuwekeza zaidi kwenye maboresho ya viwanja vinavyotumiwa na vilabu mbalimbali nchini vinavyoshiriki ligi hiyo. Benki hiyo ni moja ya wadhamini muhimu waliofanikisha ujenzi wa Uwanja huo mpya kupitia msaada wake wa fedha kiasi cha sh milioni 50.



Katika uzinduzi huo ulioongozwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, Benki ya NBC iliwakilishwa na Mkurugenzi wake wa Biashara, Elvis Ndunguru, Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Umma na Mawasiliano, Godwin Semunyu, Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Biashara ambae ndio Mwenyekiti wa kamati ya Ligi hiyo ndani ya NBC, Joseph Lyuba pamoja na maofisa wengine wa Benki hiyo tawi la Singida.



Katika hotuba yake Naibu Waziri Mwinjuma pamoja na kuipongeza klabu ya Singida Black Stars kwa hatua hiyo, aliwashukuru wadau waliyoiunga mkono klabu hiyo ikiwemo Benki ya NBC aliyoitaja kama mdau muhimu zaidi katika ukuaji wa sekta ya michezo nchini ikiwemo mpira wa miguu.



“Uzinduzi wa uwanja huu wa Singida Black Stars ni muelekeo sahihi kuelekea mageuzi kwenye sekta yetu ya michezo hususani mpira wa miguu na ninapongeza sana kwa hilo. Nimefurahi kuona uwepo wa Benki ya NBC kwenye hatua hii na huu ni mwendelezo tu wa jitihada zao kwenye maendeleo ya michezo hapa nchini...hongereni sana NBC tunawashukuru kwa hilo’’ alisema.



Akizungumzia mkakati wa uboreshaji wa miundombinu ya viwanja, Bw. Ndunguru alisema unakwenda sambamba na mikakati mingine ya Benki hiyo katika kuboresha ligi hiyo ikiwemo utoaji wa mikopo ya usafiri kwa vilabu, utoaji wa huduma za bima ya afya kwa wachezaji na mabenchi ya ufundi, usajili wa kadi za wanachama na utoaji wa elimu ya fedha kwa vilabu vinavyoshiriki ligi hiyo.



“Suala la uboreshaji wa viwanja kwa sasa tunaliona kama agenda muhimu zaidi katika udhamini wetu kwenye ligi hii. Tumeshafanya jitihada kadhaa kwenye eneo hilo na sasa tunaona wazi kabisa kwamba tunahitaji kuwekeza nguvu zaidi kwenye eneo hilo. Mbali na uwanja huu ambapo tuliwekeza kiasi cha Shilingi Milioni 50 tumeshasaidia viwanja vingine kwenye maboresho madogo madogo ukiwemo Uwanja wa Jamhuri Dodoma ambapo kupitia tawi letu la huko tulisaidia maboresho kwenye mfumo wa umwagiliaji wa uwanja,’’ alisema Ndunguru.



TRA CRACKS DOWN ON COUNTERFEITERS & ILLICIT TRADERS AS ETS TIGHTENS COMPLIANCE

Pictured are the individuals arraigned at the Resident Magistrate Court of Bukoba on March 24, 2025, facing charges under the Excise Duty Act. This operation, led by Kagera Regional Manager Mr. Castro John and Karagwe District Manager Mr. William Mneney, resulted in the seizure of 25,433 bottles of illegally produced alcohol. TRA continues to urge businesses to comply with Electronic Tax Stamps (ETS) to ensure fair trade, revenue collection and consumer safety.

Kagera, 24th March 2025; Tanzania Revenue Authority (TRA) in Kagera Tax Region has conducted a major operation to combat tax evasion through the unregistered production of spirits in 100ml, 125ml, and 200ml quantities without proper registration, licensing, and the affixation of Electronic Tax Stamps (ETS). Approximately 25,433 bottles were seized in February 2025. The operation was carried out by the Kagera Regional Office under the leadership of Regional Manager Mr. Castro John, in collaboration with the Karagwe District Manager, Mr. William Mneney. As a result of this operation, the following tax evasion suspects have been arraigned at the Resident Magistrate Court of Bukoba on March 24, 2025, on charges of violating the Excise Duty Act: 1. Mwesiga Reopard Rupia 2. Nelius Kaizelege Mwami 3. Julieth Ishengoma Kisheni and Mlokozi Egibert Emely. This comes after TRA called all businesses and traders in the country to urgently comply with the tax administration and Electronic Tax Stamps (ETS) system.

The use of counterfeit stamps leads to the illicit trade of products which can harm consumers’ health, create unfair business competition and a loss of tax revenue that could have been otherwise invested in social services, infrastructure, schools, or public health programs. For example, in Tanzania, illicit alcohol trade is a significant and persistent problem depriving the Government of an estimated TZS 1.2 trillion in uncollected excise duty annually. This is a very serious offense for which TRA invests considerable resources to identify fakes and convict fraudsters.

While the Tanzanian Government recognizes the efforts of Tanzanian taxpayers and supports institutions as well as individuals who have enabled TRA to collect taxes more easily, it is reaffirming its aim to foster a more competitive business environment in the country as well as to fight fraud and condemn culprits. This can be achieved using a performing tax administration system optimizing the time of its enforcement staff through market surveillance, powered by advanced technology.

Monday, 24 March 2025

NBC KUTUMIA MCHEZO WA GOFU KUCHOCHEA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA

Mkuu wa Majeshi Mstaafu na Muasisi wa Mashindano ya Gofu ya NBC Waitara Trophy, Jenerali George Waitara (katikati) akikabidhi zawadi ya kwa mshindi wa jumla wa mashindano ya NBC Waitara Trophy 2025 ‘Gofa’ mkongwe, Edmund Mndolwa (wa tatu kushoto) kutoka Klabu ya Gofu ya Lugalo. Mashindano hayo ya siku moja yalifanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Klabu ya Gofu vya Lugalo Jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa Benki ya NBC. Wanaoshuhudia ni pamoja na Rais wa Chama cha Gofu cha Wanawake Tanzania (TLGU), Bi. Queen Siraki (kushoto), Mwenyekiti wa Klabu ya Golf ya Lugalo, Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo (wa pili kushoto), Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Muhimbili, Bw Aliko Mwamsaku (wa pili kulia) na Rais wa Chama cha Gofu Tanzania (TGU), Gilman Kasiga.
Mkuu wa Majeshi Mstaafu na Muasisi wa Mashindano ya Gofu ya NBC Waitara Trophy, Jenerali George Waitara (katikati) akikabidhi zawadi ya kwa mmoja wa washindi kwa upande wa wanawake kwenye Mashindano ya NBC Waitara Trophy 2025. Wanaoshuhudia ni pamoja na Rais wa Chama cha Gofu cha Wanawake Tanzania (TLGU), Bi. Queen Siraki (kushoto), Mwenyekiti wa Klabu ya Golf ya Lugalo, Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo (wa pili kushoto), Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Muhimbili, Bw Aliko Mwamsaku (wa pili kulia) na Rais wa Chama cha Gofu Tanzania (TGU), Gilman Kasiga.
Mkuu wa Majeshi Mstaafu na Muasisi wa Mashindano ya Gofu ya NBC Waitara Trophy, Jenerali George Waitara akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano ya NBC Waitara Trophy 2025. 

Dar es Salaam, Machi 24, 2025: Mashindano ya Gofu ya 'NBC Waitara Trophy 2025' yamehitimishwa kwa mafanikio makubwa huku mdhamini mkuu wa mashindano hayo, Benki ya NBC ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na wadau wa mchezo huo ili kuchochea ushirikiano wa kibiashara miongoni mwa wadau, kukuza na kuendeleza vipaji na kutangaza utalii.



Mashindano hayo yaliyofanyika kwa siku moja yakilenga kumuenzi muasisi wake Mkuu wa majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara yaliyohitimishwa na muasisi huyo kwenye viwanja vya Klabu ya Gofu vya Lugalo Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki yakihusisha washiriki kutoka ndani ya nchi. Wachezaji walionyesha ujuzi, mbinu, na michezo ya kiungwana huku ‘Gofa’ mkongwe Edmund Mndolwa akiibuka mshindi wa jumla wa mashindano hayo.



Akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi mbalimbali wa mashindano hayo, Jenerali Waitara pamoja na kuwapongeza washiriki na wadhamini wa mashindano hayo, aliendeleza wito wake kwa jamii kushiriki kwa wingi kwenye mchezo huo bila kujali dhana ya kuwa mchezo huo ni mahususi kwa watu wa daraja la juu kiuchumi.



Zaidi niendelee kutoa wito kwa kwa wadhamini wa mashindano mbalimbali ya mchezo huu yakiwemo mashindano haya kuangalia namna ya kupanua udhamini wao mbali na mashindano pekee pia waone namna ya kuboresha viwanja vya mchezo huu hususani kwenye mfumo wa umwagiliaji ili viweze kuwa katika hali nzuri hata kwenye msimu wa ukame.’’ Alisisitiza.



Sunday, 23 March 2025

NBC YAKABIDHI BASI JIPYA KWA KLABU YA COASTAL UNION FC YA JIJINI TANGA

Mkuu wa Wilaya ya Lushoto, Bw. Zephania Stephan Sumaye (wa pili kulia) akikabidhi mfano wa ufunguo kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union FC ya jijini Tanga, Bw Muhsin Ramadhan Hassan (wa pili kushoto) ikiwa ni ishara ya kumkabidhi basi lilotolewa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC kwa klabu hiyo ikiwa ni mwendelezo wa dhamira ya dhati ya benki hiyo katika kuboresha ligi hiyo kupitia mikopo ya vyombo usafiri kwa vilabu. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (katikati), Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Al-Hajj Abdulrahman Shiloow na Meneja wa NBC Tawi la Tanga Bw Japhary Hassan (kulia).
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (katikati) akizungumza na viongozi, wanachama na mashabiki wa Klabu ya Coastal Union FC ya jijini Tanga alipotembelea Makao Makuu ya Klabu hiyo jijini humo wakati wa hafla ya makabidhiano ya basi lililotolewa na Benki ya NBC kwa klabu hiyo kama mkopo.

Tanga, Machi 22, 2025: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC imekabidhi basi jipya kwa Klabu ya soka ya Coastal Union FC ya jijini Tanga inayoshiriki ligi hiyo ikiwa ni mwendelezo wa dhamira ya dhati ya benki hiyo katika kuboresha ligi hiyo.



Coastal Union FC inakuwa klabu ya nne inayoshiriki ligi hiyo kunufaika na mpango huo unaohusisha mkopo nafuu kutoka benki ya NBC baada ya klabu za KMC ya Kinondoni, Singida Big Stars na Namungo FC kunufaika na mpango kama huo hapo awali. Mkopo wa basi la Coastal Union FC unaifanya benki ya NBC kuwa imetoa jumla ya mikopo yenye thamani ya sh bil 1.2 kwenye usafiri wa vilabu hivyo vinne vilivyonufaika na mpango huo.



Hafla ya makabidhiano ya basi hilo iliyohusisha paredi maalum la basi hilo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Tanga, imefanyika leo kwenye tawi la benki ya NBC jijini Tanga ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Bw. Zephania Stephan Sumaye aliemuwakilisha Mkuu wa Mkoa huo Balozi Dkt Batilda Burian.



Pia hafla hiyo ilihusisha uwepo wa Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Al-Hajj Abdulrahman Shiloow, viongozi waaandamizi wa benki ya NBC wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru, Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union FC, Bw Muhsin Ramadhan Hassan, mdhamini wa klabu hiyo kampuni ya RATCO Express, benchi la ufundi pamoja na wachezaji.



Akizungumza kwa niaba ya Balozi Dkt Burian, DC Sumaye pamoja na kuipongeza benki hiyo kwa hatua hiyo muhimu, alisema hatua hiyo imekuja kipindi ambacho uongozi wa mkoa huo upo kwenye utekelezaji wa wito wa Rais Samia wa kuchochea kasi ya maendeleo mkoani humo ikiwemo sekta ya michezo kupitia uboreshaji wa miundombinu ya michezo.



Kilichofanywa na NBC leo ni kama kuunga mkono muitikio wa wito huu wa Rais Samia. Nimevutiwa zaidi kuona NBC wanagusa hadi masuala ya bima kwa wanamichezo hilo ni jambo zuri zaidi. Ombi Langu kwa wachezaji na viongozi wa klabu ni kuhakikisha kwamba jitihada hizi zinatoa majibu kwenye matokeo ya uwanjani,’’ alisema.



Saturday, 22 March 2025

BENKI YA STANBIC KUBADILI MWELEKEO WA MUSTAKABALI WA MALIPO YA KIDIJITALI

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Wateja Maalum wa Benki ya Stanbic Tanzania, Omari Mtiga, akiwa katika mazungumzo na Rais wa Kanda ya Ulaya ya Kati na Mashariki, Mashariki ya Kati na Afrika (CEMEA), Andrew Torre juu ya masuala mbalimbali yanayohusu VISA. Tukio limefanyika makao makuu ya benki ya Stanbic jijini Dar es salaam, alipotembelea benki hiyo kwa ajili ya majadiliano kuhusu VISA ili kuleta mageuzi katika mfumo wa malipo ya kidijitali, mikakati ya kuimarisha ujumuishi wa kifedha, na fursa za ushirikiano wa kimkakati ambayo yataleta mapinduzi katika sekta ya fedha nchini Tanzania.

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Wateja Maalum kutoka Benki ya Stanbic Omari Mtiga akiwa katika meza ya mazungumzo na Uongozi wa Timu ya VISA Kikanda. Wengine katika picha kushoto ni Meneja wa Kitengo cha Bima, Irene Mutabihirwa.


BENKI YA EQUITY YAFUTURISHA WATEJA NA WADAU WAKE MJI MKONGWE, ZANZIBAR


Zanzibar, 22 Machi, 2025 – Benki ya Equity siku ya jana iliandaa tukio la kipekee la Iftar, likiwa na lengo la kuleta pamoja wadau muhimu, wakiwemo viongozi, wateja, na wadau mbalimbali, ili kusherehekea kwa pamoja katika mwezi huu wa Ramadhani. Iftar hiyo ilifanyika katika hotel ya Madinat Al Bahr.


Katika hotuba yake, Bw. Haidari Chamshama, kwa niaba ya Menejimenti na wafanyakazi wa Benki ya Equity, alikaribisha wageni na kutoa shukrani za dhati kwa wote waliohudhuria tukio hili. Shukrani za kipekee zilielekezwa kwa Mheshimiwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Mh.Omary S. Shaaban, ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika shughuli hiyo.


“Ni furaha kubwa kuwa na wewe hapa leo, Mheshimiwa Waziri,” alisema Bw. Haidari Chamshama, Mkuu wa Kitengo cha Malipo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Equity Tanzania. “Uongozi wako umejikita katika kukuza sekta ya biashara na viwanda Zanzibar. Juhudi zako ni kichocheo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wetu, na sisi kama benki tunajivunia kuwa sehemu ya safari hii ya maendeleo.”


Tukio hili lilikuwa fursa ya kuonyesha shukrani kwa wateja waaminifu wa Benki ya Equity, ambao wamekuwa sehemu muhimu ya mafanikio ya benki. “Kama benki, tunatambua kwamba hatuwezi kufanikiwa bila ya ushirikiano wenu. Leo hii, tunasherehekea mafanikio yetu kwa kushirikiana nanyi, na tunaendelea kujitahidi kuboresha huduma zetu kila siku,” aliongeza Bw. Haidari Chamshama, Mkuu wa Kitengo cha Malipo aliyeongea kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Equity Tanzania.


Friday, 21 March 2025

ABSA & HINDSIGHT VENTURES TEAM UP TO BOOST FINTECH AND STARTUP INNOVATION

Absa Bank Tanzania, Managing Director, Obedi Laiser (right), shakes hands with the Bank of Tanzania (BoT) Director of Financial Deepening and Inclusion, Kennedy Komba, in Dar es Salaam today, during the launch ceremony of Wazo Challenge Tanzania, a flagship initiative aimed at fostering innovation and entrepreneurship in the country’s FinTech and startup ecosystem. On the left is the Absa's Head of Customer Experience and Digital Channel, Samuel Mkuyu.
A member of the Board of Directors of Absa Bank Tanzania, Peter Ulanga (left), Absa Bank Tanzania, Managing Director, Obedi Laiser, and the Director of Financial Deepening and Inclusion at the Bank of Tanzania (BoT), Kennedy Komba, walk together in Dar es Salaam today, towards the launch ceremony of Wazo Challenge Tanzania, a flagship initiative aimed at fostering innovation and entrepreneurship in the country’s FinTech and startup ecosystem.
Absa Bank Tanzania Managing Director, Obedi Laiser (second right), speaks with the Co-Founder and CEO of Hindsight Ventures, Mr. Ajay Ramasubramaniam (second left), Head Digital Banking from Absa Group, Tawanda Chatikobo, and Absa Tanzania Head of Customer Experience and Digital Channel, Samuel Mkuyu (right), during the launch ceremony of Wazo Challenge Tanzania, a flagship initiative aimed at fostering innovation and entrepreneurship in the country’s FinTech and startup ecosystem.
Bank of Tanzania (BoT), Director of Financial Deepening and Inclusion, Kennedy Komba, delivers a speech in Dar es Salaam today, during the launch ceremony of Absa's Wazo Challenge Tanzania, a flagship initiative aimed at fostering innovation and entrepreneurship in the country’s FinTech and startup ecosystem.
  • A 60-day program featuring an innovation track and a hackathon track
  • Themes include customer experience, digital identity, and digital-first products
  • Selected startups will have the opportunity to pilot their solutions with Absa Bank Tanzania
  • Each selected startup will gain access to USD 600,000 worth of technology credit
  • Program concludes with a demo day, offering access to domestic and global investors
Dar es Salaam, 21 March 2025: Absa Bank Tanzania, in collaboration with Hindsight Ventures, has launched the Wazo Challenge Tanzania, a flagship initiative aimed at fostering innovation and entrepreneurship in the country’s FinTech and startup ecosystem. The launch event, held at the Serena Hotel in Dar es Salaam, was graced by the Guest of Honor, Mr. Kennedy Komba, the Director of Financial Deepening and Inclusion at the Bank of Tanzania, representing the Governor.

Themed “Bank of the Future”, the Wazo Challenge Tanzania invites FinTech startups and innovators to showcase cutting-edge solutions that have the potential to redefine the future of banking. The initiative is part of a three-year partnership between Absa Bank Tanzania and Hindsight Ventures, designed to support the growth and scalability of Tanzania’s entrepreneurial ecosystem.

Speaking at the launch, Mr. Obedi Laiser, Managing Director of Absa Bank Tanzania, emphasized the bank’s commitment to innovation and financial inclusion. “The Wazo Challenge Tanzania is a testament to our belief in the power of innovation to drive growth and create value for our customers as this links directly our organizational purpose of “Empowering Africa’s tomorrow, together, one story at a time” and our brand promise, “Your story matters”. We are excited to partner with Hindsight Ventures to empower Tanzania’s innovators and entrepreneurs.”

WATEJA WA NBC KUPATA PUNGUZO LA 20% KWA MANUNUZI YA EID NA PASAKA, MOROCCO SQUARE

Mkuu wa Kitengo cha Miamala ya Kibenki kutoka Benki ya NBC, Bw. Mangire Kibanda (kushoto) na Meneja Masoko wa Kampuni ya Hope Holding inayomiliki maduka ya Sketchers, Flormar, Bottega Verde, DeFacto na LC WaIKIKI yaliyopo kwenye jengo la Morocco Square jijini Dar es Salaam, Bw. Micky Decha (kulia) wakionyesha mikataba mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano baina ya taasisi hizo mbili yanayotoa fursa kwa wateja wa maduka hayo kupata punguzo la asilimia la hadi asilimia 20 kila watakapofanya manunuzi kwenye maduka hayo na kulipia kwa kutumia kadi za Benki ya NBC. Hafla ya utiaji Saini makubaliano hayo imefanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Miamala ya Kibenki kutoka Benki ya NBC, Bw. Mangire Kibanda (kushoto) na Meneja Masoko wa Kampuni ya Hope Holding inayomiliki maduka ya Sketchers, Flormar, Bottega Verde, DeFacto na LC WaIKIKI yaliyopo kwenye jengo la Morocco Square jijini Dar es Salaam, Bw. Micky Decha (kulia) wakizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano baina ya taasisi hizo mbili yanayotoa fursa kwa wateja wa maduka hayo kupata punguzo la asilimia la hadi asilimia 20 kila watakapofanya manunuzi kwenye maduka hayo na kulipia kwa kutumia kadi za benki ya NBC.

Dar es Salaam, Machi 21, 2025: Kuelekea Msimu wa Sikuku za Eid na Pasaka, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Hope Holding inayomiliki maduka ya Sketchers, Flormar, Bottega Verde, DeFacto na LC WaIKIKI yaliyopo kwenye jengo la Morocco Square jijini Dar es Salaam ili punguzo la asilimia la hadi asilimia 20 kwa wateja watakaofanya manunuzi kwenye maduka hayo na kulipia kwa kutumia kadi za benki hiyo.


Makubaliano hayo ni muendelezo wa mkakati wa Benki NBC katika kuhamasisha utumiaji wa huduma za kibenki kwa njia za kidigitali katika ufanyaji wa miamala miongoni mwa wateja wake hususani kipindi hiki cha kuelekea katika msimu wa Sikukuu za Eid el Fitr na Pasaka.


Hafla ya kusaini makubaliano hayo imefanyika leo kwenye viunga vya jengo la Morocco Square jijini Dar es Salaam yakiwahusisha Mkuu wa Kitengo cha Miamala ya Kibenki kutoka Benki ya NBC Bw. Mangire Kibanda na Meneja Masoko wa Kampuni ya Hope Holding Bw. Micky Decha. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na maofisa wengine kutoka pande zote mbili.


Akizungumzia makubaliano hayo Bw. Mangire alisema hatua hiyo ni muendelezo wa utamaduni wa benki hiyo katika kutoa fursa kwa wateja wa benki hiyo kufurahia kupitia punguzo la bei kwenye manunuzi ya huduma mbalimbali kuelekea katika vipindi vya sherehe mbalimbali za kitaifa zikiwemo sikukuu za kidini.

Makubaliano yetu na wenzetu wa Hope Holding ni muendelezo wa jitihada za benki ya NBC tukilenga kutoa fursa kwa wateja wetu kufurahia miamala iliyorahisishwa wanapofanya manunuzi yao ya mavazi ya aina mbalimbali kwa ajili ya marafiki, familia, na wapendwa wao kuelekea kwenye sikukuu hizi za Eid el Fitr na Pasaka huku wakinufaika kupitia upendeleo wa bei kupitia punguzo la hadi asilimia 20 kwenye manunuzi kwenye maduka haya matano kwasasa yaliyopo hapa Morocco Square’’ alisema.

PRIME OFFICE SPACE AVAILABLE NOW AT OYSTER PLAZA, OYSTER BAY!

Prime Office Space for Lease – Oyster Bay, Dar es Salaam

Looking for the perfect office space in a prime location? Oyster Plaza, 3rd Floor offers 187 square meters of premium office space on Haile Selassie Road, Oyster Bay – one of Dar es Salaam’s most prestigious business districts.

✅ Spacious & well-lit workspace
✅ Convenient location with easy access
✅ Secure & professional business environment

Ideal for corporate offices, consultancies, or growing businesses looking for a strategic location.

📍 Location: Oyster Plaza, Haile Selassie Road, Oyster Bay
📏 Size: 187 sqm
📞 Contact us today to schedule a viewing!

📲 +255 754 210 417

BENKI YA STANBIC TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM

Katibu wa Baraza la Ulamaa Taifa, Sheikh Hassan Chizenga akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic, Manzi Rwegasira katika Iftar iliyoandaliwa na Benki hiyo jana katika Hoteli ya Serena. Kushoto ni Fredrick Max, Ofisa Mkuu Idara ya biashara Benki ya Stanbic na kulia ni Omari Mtiga, Mkurugenzi wa wateja binafsi Benki ya Stanbic.
Viongozi wa Benki ya Stanbic (Manzi Rwegasira na Omari Mtiga) na Sheikh Hassan Chizenga, Katibu Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Ulamaa wakifurahia mazungumzo ya kirafiki katika hafla ya Iftar iliyofanyika Hoteli ya Serena. Tukio hili liliangazia mshikamano, maadili ya Ramadhani, na dhamira ya Benki hiyo kwa jamii.
Sheikh Hassan Chizenga, Katibu Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Ulamaa, akitoa hotuba kuu katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania katika Hoteli ya Serena. Tukio hili liliwaleta pamoja viongozi wa biashara, viongozi wa kidini, na wanajamii kusherehekea Roho ya Ramadhani na kuimarisha ushirikiano.