Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Tuesday, 14 May 2019

BENKI YA DCB YAWASHUKURU WAHESHIMIWA WABUNGE NA SPIKA KWA KUFANIKISHA UUZWAJI WA HISA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa pale ugeni kutoka benki hiyo ulipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Prof. Lucian Msambichaka.
Benki ya Biashara ya DCB imetoa shukurani kwa waheshimiwa wabunge pamoja na mheshimiwa spika kwa kufanikisha zoezi la uuzwaji wa hisa zao lililofanyika hivi karibuni kwa mafanikio. 

Akizungumza wakati wa mahojiano maalumu jijini Dodoma sambamba na ziara ya uongozi wa juu wa DCB ulioongozwa na Mwenyekiti wao wa Bodi bungeni juzi, Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa alisema wabunge kama wawakilishi wa wananchi wamesaidia sana kwa taarifa za uuzaji wa hisa zao kuwafikia wananchi wengi.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto), akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka (katikati) pale ugeni kutoka benki hiyo ulipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Ndg. Godfrey Ndalahwa.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati), akizungumza na ujumbe kutoka benki ya DCB ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Lucian Msambichaka (kushoto kwake) ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Alisema mafanikio ya uuzaji wa hisa yaliyoifanya benki kuongeza mtaji wake yatasaidia mpango mkakati wao wa kutanua wigo wa huduma zao wakitarajia ndani ya miaka mitano kuwafikia watanzania wengi huku wakiwekeza zaidi katika huduma za kidigitali. 

“DCB ilianza mpango wake wa kujitanua kutoka jijini Dar es Salaam miaka miwili iliyopita, safari ya kujitanua inaendelea, tumeshafika Dodoma na maeneo ya karibu, mfumo wetu unaotusaidia ni kutoa huduma bora kwa bei nafuu tukiwekeza zaidi katika mfumo wa kidigatali hivyo kuwa na matawi machache na kuweka vituo vingi vya huduma sehemu mbalimbali nchini,” alisema. 

Zoezi la uuzwaji wa hisa za dcb lilizinduliwa Novemba 12,2018 na kuhitimishwa Januari 31, 2019 ambapo hisa 36,635,435 ziliuzwa ikivuka kiwango cha hisa 33,913,948 zilizopangwa awali. 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto), akisalimiana na Meneja wa Tawi la Benki ya DCB Dodoma, Joseph Njile wakati yeye na uongozi wa juu wa benki hiyo ukimtembelea spika, ofisini kwake, bungeni, Dodoma. Kutoka wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi, Prof. Lucian Msambichaka, Mkurugenzi Mtendaji, Godfrey Ndalahwa na Mkurugenzi wa Biashara, James Ngaluko.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Biashara ya DCB, James Ngaluko wakati yeye Mwenyekiti wa Bodi, Prof. Lucian Msambichaka na Mkurugenzi Mtendaji, Godfrey Ndalahwa (kulia kwake), wakimtembelea mheshimiwa Spika, osifini kwake Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto), akisalimiana na ofisa Uhusiano wa Benki ya Biashara ya DCB, Nuru Ashraf, wakati yeye na uongozi wa juu wa benki hiyo ukimtembelea spika, ofisini kwake, bungeni, Dodoma. Kutoka wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi, Prof. Lucian Msambichaka, Mkurugenzi Mtendaji, Godfrey Ndalahwa na Mkurugenzi wa Biashara, James Ngaluko.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Biashara ya DCB, Rahma Ngassa, wakati yeye na uongozi wa juu wa benki hiyo ukimtembelea spika, ofisini kwake, bungeni, Dodoma. Kutoka wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi, Prof. Lucian Msambichaka, Mkurugenzi Mtendaji, Godfrey Ndalahwa na Mkurugenzi wa Biashara, James Ngaluko.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Katikati), akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Benki ya Biashara ya DCB ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Prof. Lucian Msambichaka (wa tatu kulia) walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

GLOBAL PARTNERS ANNOUNCE $61.8 MILLION ALLOCATION TO BOOST AFRICAN DEVELOPMENT BANK INITIATIVE FOR WOMEN ENTREPRENEURS

“This substantial support from the Women Entrepreneurs Finance Initiative, We-Fi, will help us scale up our actions and achieve greater results for women entrepreneurs across the continent” - Vanessa Moungar, Bank’s Director for Gender, Women and Civil Society.


The Governing Committee of the Women Entrepreneurs Finance Initiative (We-Fi) has approved a funding allocation of $61.8 million for the African Development Bank’s Affirmative Finance Action for Women in Africa (AFAWA) program.

We-Fi is a partnership among 14 donor governments, eight multilateral development banks, and other public and private sector stakeholders, established in October 2017 and hosted by the World Bank Group.

“This substantial support from the Women Entrepreneurs Finance Initiative, We-Fi, will help us scale up our actions and achieve greater results for women entrepreneurs across the continent. Our ambition with AFAWA goes beyond regular assistance to women in business,” Vanessa Moungar, the Bank’s Director for Gender, Women and Civil Society said about the announcement.

With the We-Fi funding, AFAWA intends to improve access to finance for 40,000 women-owned/led small and medium enterprises in 21 African countries, mainly in low-income and fragile countries, where women entrepreneurs face greater challenges in accessing finance, markets, knowledge, and mentoring programs. Specifically, the program’s activities will be implemented in Botswana, Burundi, Chad, Comoros, Côte d’Ivoire, Democratic Republic of Congo, Ethiopia, Kenya, Mali, Mauritania, Mozambique, Niger, Nigeria, Senegal, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Tunisia, Uganda, Zambia, and Zimbabwe.

CONGO: AFRICAN DEVELOPMENT BANK PRESIDENT AKINWUMI ADESINA ENDS VISIT, REAFFIRMING STRONGER TIES AND INCREASED SUPPORT


African Development Bank President Akinwumi Adesina completed a three-day visit to the Republic of Congo on 12 May 2019, reaffirming the Bank's strong partnership with the Central African country.

At a meeting with Congolese President Denis Sassou-Nguesso in his hometown, Oyo, some 460 km from the capital, Brazzaville, Adesina declared the Bank’s support for the country’s development plans.

“I wish to inform you that the African Development Bank will continue to support the Government of Congo and the implementation of the National Development Plan. I have great confidence in your leadership and the excellent work and efforts of the government,” Adesina said.

Congo is the fourth largest Sub-Saharan oil producer, with an output of 360,000 barrels-per-day from reserve estimates of around 1.6 billion barrels. It produces around 240 million cubic feet of gas daily from reserves estimated at 111 billion cubic feet.

While commending the country’s bold steps to deal with internal debt, Adesina said the government needed to create incentives in the non-oil sector to spur manufacturing and industry to boost private sector investments and small-to-medium businesses.

The African Development Bank delegation, led by Adesina, and accompanied by President Nguesso, visited the Port of Oyo and other projects including a High School of Technology with the capacity to enroll up to 10,000 students.

10 WAYS TO TRICK YOUR BRAIN INTO BEING MORE PRODUCTIVE, ACCORDING TO A NEUROSCIENTIST

  • You can trick your brain into getting more done by keeping smartphones out of sight, focusing on one task at a time, and wearing the same clothes everyday. 
  • Here are 10 ways to trick your brain into getting more done.
If you've ever complained about being too busy, it may not be your boss overworking you your brain could be the problem.

Aside from actual work, employees waste more time with constant distractions, meetings, and emails than ever, according to software company Atlassian . Technology hasn't helped: on average, Vox found workers send Slack messages every 12 minutes in an eight-hour workday.

In conjunction to the constant barrage of distractions, employees and executives around the world complain of burnout and stress, particularly at large tech companies .

The paradox between the decline in productive work during the day and the feeling of being constantly overworked could boil down to your biology, UC Berkeley cognitive neuroscientist Sahar Yousef told the audience at Adobe's 99U conference, which brought together creative experts in fields from virtual reality to interactive art.

Everything about the workday has changed, Yousef said: most communication no longer occurs in person; technology allows workers to constantly be plugged into work regardless of a 9-to-5 schedule; you have coworkers around the world; and open offices have replaced cubicles.

Our bodies are the only thing that haven't changed, Yousef added. Many of us have not adapted our biology or rewired our brains to the tech that transformed our workplaces.

"We've created amazing new tech and devices, but the crux of the problem is that we're not changing we're still ancient, we still have this old biology," Yousef told the audience. "Until we actually stop fighting our biology and embrace it and leverage it, it's going to feel like an uphill battle."

Yousef explained ways to rewire your workday to get the most out of your body's optimal performance ability. Here are 10 ways to trick your brain into getting more done, according to Yousef.

7 THINGS NOT TO SAY IN AN INTERVIEW, OR YOU’LL LOOK LIKE YOU’RE TRYING TOO HARD

Certain lines may make you come off like you're trying too hard.
  • Most people know to prepare what they'll say before an upcoming job interview, but it's important to also think about what you shouldn't say. 
  • Certain lines may make you come off like you're trying too hard, so it's best to avoid them if you can. 
  • For instance, if you compliment your interviewer on their outfit or offer to bring coffee, you could come across as inauthentic. 
  • Similarly, saying it's your "dream" to work at the company is vague and empty; try instead to be specific and detailed about why you're right for the position.
So you've prepared for your upcoming interview and know exactly what to say. You know why you want the job and how to explain the ways in which your past experiences are applicable to it. And you've practiced it all over and over again in the mirror so that you're sure to impress your interviewer.

But have you thought about what you absolutely shouldn't say?

These seven lines may make you come off like you're trying too hard, so avoid them the best you can.

Friday, 10 May 2019

BIA YA SERENGETI LITE YATUNUKIWA TUZO YA SUPERBRAND


7 Mei 2019 - Dar es Salaam: Bia ya Serengeti Premium Lite imepata tuzo ya Superbrands kwa mwaka 2019/2020 kama ishara ya kutambua ubora wake wa hali ya juu, kuaminika kwake na wateja na uhalisia kwa watumiaji wake.

Ikiwa imepigiwa kura na watu wapatao 1,000 nchini kote na kuthibitishwa na baraza la huru la wataalamu wa sekta ya uzalishaji, Serengeti Lite inaingia katika duru za kihistoria kwa tuzo hii ya kifahari ikiwa moja ya ubunifu wa hivi karibuni kabisa uliofanywa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL). Bia mama ya Serengeti Premium Lager nayo ni pia ni mshindi wa tuzo ya Superbrands.

"Kushinda tuzo ya Superbrand ni muhimu zaidi kuliko wakati wowote hasa ukichukulia hali ya uchumi na ushindani katika sekta ya bia kwa ukanda huu unaongezeka kwa kasi kubwa. Hakika, kushinda tuzo hii ni ishara tosha ya juhudi za Serengeti Lite kuendelea kuwa bidhaa muhimu, ya tofauti na ya kuvutia machoni mwa watumiaji, "amesema Anitha Rwehumbiza, Meneja Masoko wa SBL katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na kampuni leo hii

Serengeti Lite inayotambulika zaidi kama ‘The only Lite with a Bite’ ikiwa na maana kwamba ya kuwa na ladha murua ilizinduliwa rasmi Mei, 2017 ambapo katika kipindi cha chini ya miaka miwili kwenye soko, Serengeti Lite imejiimarisha na kuwa lite bia inayoongoza hapa nchini.

ECOBANK’S RAPID TRANSFER APP IS BEST REMITTANCE PRODUCT AND SERVICE OF THE YEAR - ASIAN BANKER AWARDS


Lagos, April 30, 2019 - Ecobank’s Rapid Transfer App has been named Best Remittance Product and Service of the Year by the Asian Banker Excellence in Retail Financial Services Awards for West Africa. The Rapid Transfer App was selected following a rigorous and transparent process that saw the Asian Banker accessing banks and non-bank retail financial services players in several countries in West Africa. Currently The Asian Banker Awards covers the Asia Pacific, the Middle East and West Africa where more than 300 banks and non-bank retail financial services players in more than 42 countries are evaluated.

Presenting the awards to winners in Lagos, Nigeria, Chairman, The Asian Banker, Emmanuel Daniel, said the Excellence in Retail Financial Services programme is probably the most rigorous, prestigious and transparent awards programme for consumer financial services in the world. He congratulated Ecobank for winning the award and explained that the programme also assesses all new players such as payments companies, marketplace platforms and alternative financial services platforms made possible by financial technology (fintech) who are greatly contributing to the transformation of the retail financial services industry. He said through the awards the Asian Banker aim to capture the evolving competitive landscape and recognise the outstanding players and initiatives, from which the industry can learn from to better provide consumer products, services and experience.

CEO APPRENTICESHIP PROGRAMME (CAP)



Introduction to the CEO Apprenticeship Programme (CAP)
“The Tanzania economy is growing rapidly, adequate investment in human capital is urgently needed in order to develop competent and visionary leaders.

Because of this, the members or CEO Roundtable (CEOrt) recognized the importance of having a pipeline of future leaders ready to lead the country’s economic growth to ensure sustainable economic development.

Furthermore, the CEO Roundtable (CEOrt) in partnership with Strathmore Business School (SBS), is pleased to launch a CEO Apprenticeship Programme (CAP) in 2019. The Programme is specifically designed to develop future leaders through the right skillset through mentorship, coaching, and series of One- on-One sessions.

The Programme will work to offer practical and goal-oriented coaching and mentoring, that will include personal coaching sessions, which will enable candidates to discuss personal and career development goals with a focus ensuring impactful return on investment to their sponsor companies.

Throughout, the Programme will be focusing to unlock individual leadership potential and deepen knowledge of corporate leadership”


THE ESTABLISHMENT OF THE LAND TRANSPORT REGULATORY AUTHORITY

Tuesday, 7 May 2019

WAZIRI MKUU AUPONGEZA UONGOZI WA BENKI YA DCB

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ( katikati), akipiga picha na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (wa pili kushoto) pamoja na baadhi ya maofisa wa benki hiyo, walipomtembelea waziri mkuu, ofisini kwake, bungeni Dodoma jana. Kutoka kushoto ni, Rahma Ngassa, Joseph Njile na Nuru Ashraf.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (katikati) pamoja na baadhi ya maofisa wa benki hiyo, walipomtegembelea waziri mkuu, ofisini kwake, bungeni Dodoma jana.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ( kulia), akisalimiana na Meneja wa Benki ya Biashara ya DCB Tawi la Dodoma, joseph Njile wakati Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa (katikati), akimtembelea waziri mkuu, ofisini kwake, bungeni Dodoma jana.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ( kulia), akisalimiana na Ofisa Mauzo wa Benki ya Biashara ya DCB Tawi la Dodoma, Nuru Ashraf, wakati Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa (katikati), akimtembelea waziri mkuu, ofisini kwake, bungeni, Dodoma jana.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ( kulia), akisalimiana na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Biashara ya DCB, Rahma Ngassa, wakati Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa (katikati), akimtembelea waziri mkuu, ofisini kwake, bungeni jana.
*Autaka uimarishe kitengo cha elimu kwa umma
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi benki ya DCB kwa kufanikiwa kubadili muundo kutoka benki ya jamii na kuwa ya biashara.

“Benki nyingi za jamii zimekufa baada ya kushidwa kujiendesha lakini ninyi DCB mmeweza kumudu kujiendesha hadi kufikia kuwa benki ya biashara.”

Hata hivyo, Waziri Mkuu ameutaka uongozi wa benki hiyo uimarishe kitengo cha elimu kwa umma ili jamii ifahamu huduma wanazozitoa.

“Nendeni kwa wananchi mkawape elimu juu ya umuhimu wa kufungua akaunti na pia rahisisheni mazingira ya kutolea huduma kwa wateja.”

Waziri Mkuu ameyasema hayo jana (Jumatatu, Mei 6, 2019) alipokutana na uongozi wa benki hiyo ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.

Friday, 3 May 2019

WHY BANKS NEED ARTIFICIAL INTELLIGENCE - PART 1

By Kelvin Mkwawa, MBA - Seasoned Banker.

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA MAPARACHICHI KILICHOPO RUNGWE MKOANI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maparachichi yanayohifadhiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi katika kiwanda cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi wengine wa Mkoa wa Mbeya, Mawaziri, Wabunge akikata utepe kufungua kiwanda cha Maparachichi cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maparachichi yanayohifadhiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi katika kiwanda cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi pamoja na wananchi katika eneo la kiwanda cha cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mashine maalumu ya kuangalia ubora wa maparachichi katika kiwanda cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maparachichi yanayohifadhiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi katika kiwanda cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA WAFANYAKAZI MEI MOSI KATIKA UWANJA WA SOKOINE JIJINI MBEYA MEI 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais wa TUCTA pamoja na Viongozi wengine wakiimba wimbo wa Mshikamano katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wafanyakazi wakiwa wameshikana mikono huku wakiimba wimbo wa mshikamano katika kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Taaluma na Utawala la chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kukagua majengo ya Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Mbeya mara baada ya kuweka jiwe la msingi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa majengo ya Utawala na Taaluma katika chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la mkoani Mbeya.

Read More >>

CURRENT VACANCIES AT THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK



UN SECRETARY GENERAL, AFRICAN DEVELOPMENT BANK PRESIDENT AGREE TO STRENGTHEN TIES AND PUSH DEVELOPMENT AGENDA IN AFRICA


Development impact on the continent and security in the Sahel were among the top issues discussed in a recent meeting between United Nations Secretary General António Guterres and African Development Bank President Akinwumi Adesina in New York.

Both leaders agreed that current efforts must succeed in Africa, or risk failing globally, and emphasized the need for deeper collaboration between their institutions to achieve the Sustainable Development Goals.

Guterres signaled his strong support for the African Development Bank’s flagship ‘Desert to Power’ initiative, which is expected to provide electricity to 250 million people. He also offered to convene a special global meeting on Lake Chad, in consultation with Nigeria’s President Muhammadu Buhari.

The “Desert to Power” program, a $10 billion initiative to build a 10 GW solar zone across the Sahel—the largest in the world, aims to develop and provide 10 GW of solar energy by 2025 and supply 250 million people with green electricity including in some of the world’s poorest countries.

Thursday, 2 May 2019

CRDB BANK GENERATES A RECORD PROFIT IN QUARTER 1

Deputy Governor, Dr. Bernard Kibesse (centre), CRDB Bank Board Chair, Ally Laay (right) and the Bank's Chief Executive Officer, Abdulmajid Nsekela, follow presentations during a CRDB Investors Forum held in Dar es Salaam on Tuesday.
CRDB Bank has made a record profit in the first quarter of this year, thanks to improved business efficiency and cost reduction measures.

Read More >>

AFRICAN DEVELOPMENT BANK OKAYS 415BN/- FOR DODOMA RING ROAD

The African Development Bank has approved a 415.3 billion shillings loan to the government of Tanzania for financing the construction of a 110 kilometres ring-road around Dodoma City, President John Magufuli has revealed.

Read More >>

WATEJA WA TIGO BUKOBA KUFURAHIA HUDUMA KATIKA DUKA JIPYA LILILOBORESHWA

Mgeni rasmi katika uzinduzi wa duka jipya la kuhudumia wateja la Tigo Mkuu Mkoa wa Kagera Bregedia Generali Marco Elisha Gaguti (wa nne kulia) akikata keki kuashiria uzinduzi wa duka hilo lenye uwezo wa kuhudumia wateja 285,000 mjini Bukoba jana. Wanaoshuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa Tigo walishiriki uzinduzi huo. 
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bregedia Generali Marco Elisha Gaguti (wa tatu kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Tigo la kuhudumia wateja mjini Bukoba jana. Wanaoshuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa Tigo walioshiriki katika sherehe za uzinduzi wa duka hilo.
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Uthmaan Madati (kulia) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bregedia Generali Marco Elisha Gaguti muda mfupi kabla ya Mkuu huyo wa Mkoa kuzindua duka jipya ta Tigo mjini Bukoba lenye uwezo wa kuhudumia watekja 285,000.
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa duka jipya lililoboreshwa la kuhudumia wateja la Tigo Mkuu Mkoa wa Kagera Bregedia Generali Marco Elisha Gaguti (wa nne kulia) akiagana na wafanyakazi wa Tigo muda mfupi baada ya kuzindua duka hilo litakaloweza kuhumia wateja 285,000 mjini Bukoba jana.
Wakazi wa Bukoba mkoani Kagera, sasa wanaweza kupata huduma mbali mbali za mawasiliano kutoka kampuni ya Tigo kwenye duka jiipya, kubwa na la kisasa lililoboreshwa.

Huduma zitakazotolewa kwenye duka hilo jipya ni pamoja na kurudisha line iliyopotea/haribika,huduma ya Tigo pesa, intaneti, usajili mpya wa line za simu kwa kutumia alama za vidole, huuduma za kibiashara za Tigo pamoja na mauzo ya vifaa vya mawasiliano kama simu.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka hilo mjini Bukoba, Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Uthmaan Madati alisema maboresha katika duka hilo jipya ni sehemu ya mkakati wa kampuni ya Tigo kuboresha huduma zinazotolewa kwa wateja wake katika maduka yake ya kuhudumia wateja.

“Duka hili lipo kati kati kati ya mji sehemu ambayo inafikika kiurahisi kwa wakazi wa hapa Bukoba na maeneo ya jirani. Tumeboresha muonekana wake na kuongeza nafasi ili kuweza kuwahudima wateja wengi zaidi na kuwafanya wateja wetu wafurahie huduma kila wanapofika hapa katika duka hili,” alisema Madati

EMPLOYMENT OPPORTUNITIES AT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT BANK (TADB)

Wednesday, 1 May 2019

PRESS RELEASE - EQUITY GROUP ANNOUNCES PROPOSED STRATEGIC TRANSACTION FOR RWANDA, TANZANIA, ZAMBIA AND MOZAMBIQUE

ATLAS MARA SWAPS FOUR AFRICAN BANKS FOR STAKE IN KENYA'S EQUITY

Atlas Mara Ltd. is shaking things up by exiting some of its operations on the continent in exchange for a share of Kenya’s biggest bank by market value.

The sub-Saharan African bank, founded by ex-Barclays Plc chief Bob Diamond, will swap its operations in Rwanda, Zambia, Mozambique and Tanzania for a 6.27 percent stake in Nairobi-based Equity Group Holdings Plc, Atlas Mara said in a statement on Tuesday. The transaction is worth about 10.7 billion shillings ($106 million), Equity said in a separate statement.

The reorganization, which sees Chief Executive Officer John Staley stepping down to pursue other interests, comes after a review of the business that has struggled to contain costs that engulfed income and its share price plummeted more than 80 percent since being listed in London at the end of 2013. Atlas Mara faced much stronger and bigger lenders in the seven African nations where it operates, and also received criticism for overpaying for some acquisitions.

Read more on Diamond stepping back to focus on other investments

The Atlas Mara executive team will report to Chairman Michael Wilkerson, who also chairs Fairfax Africa Holdings Corp., which holds 49 percent of Atlas Mara after injecting funding into the company. Getting a stake in Equity Group means Atlas Mara becomes a meaningful shareholder in “one of Africa’s most successful and well-run banks,” the company said.

The transaction will result in increased scale in Rwanda and Tanzania once Atlas Mara and Equity combine their operations there, Atlas Mara said. The deal will allow Equity Group to expand its footprint in Africa, the Kenyan lender said.


KENYA AIRWAYS POSTS $75M LOSS


National carrier Kenya Airways posted a Ksh7.55 billion ($74.59 million) net loss for year ended December 2018 as higher costs offset a jump in revenue.

The carrier's full-year results do not have a comparable period because KQ, as the airline is known by its international code, in 2017 changed its reporting period from ending in March 31 to now end in December 31.

However, KQ had made a net loss of Ksh6.41 billion ($63.32 million) in the 9-month period between April 1 and Dec 31 2017.

The company’s revenue in 2018 hit Ksh114.18 billion ($1.13 billion), largely driven by passenger bookings.

Its revenue in the previous 9-month period stood at Ksh80.7 billion ($797.24 million).

It's total operating costs stood at Ksh114.87 billion ($1.13 billion) in the period under review.