| Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, akisalimiana na Meneja Mahusiano, Idara ya Wateja Binafsi wa NMB, Luiana Keenja, alipotembelea banda la NMB katika maadhimisho ya Wiki ya Vijana yanayofanyika kwenye viwanja vya Soko la Uhindini, jijini Mbeya. Katikati ni Meneja Mauzo wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Ungandeka Mwakatage. |
No comments:
Post a Comment