| Tupo Pamoja! Rais wa Finland, Alexander Stubb (wa tatu kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali, wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya Ms. Christine Grau (wa kwanza kushoto), Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Pindi Chana (wa pili kushoto), Balozi wa Finland nchini, Ms. Theresa Zitting (wa tatu kushoto), Naibu Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Ndugu John Rutere (wa pili kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano na Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (wa kwanza kulia), baada ya kuzindua mpango wa Green Catalyst kwa maendeleo ya sekta ya misitu nchini Tanzania. |
No comments:
Post a Comment