Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 21 January 2025

VODACOM YAHITIMISHA KAMPENI YA "SHANGWE POPOTE UKIWA NA M-PESA"

Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Pwani, Suleiman Amri (katikati) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya Ramadhan Kalafya (kushoto) ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa'.
Msimamizi wa Mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Dar es Salaam, Neema Lucas (katikati) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya John John (kushoto) ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa'.
Msimamizi Mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Dar es Salaam, Nakiete Mshana (kulia) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye gari ya Beatrice Msofero (katikati) ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa'.
Msimamizi wa Mauzo kutoka Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Dar es Salaam, Mishi Bakari (kulia) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa wateja wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye pikipiki ya Daud Neto (katikati) ikiwa ni mwisho wa kampeni yao ya kurudisha tabasamu kwa wateja katika msimu wa sikukuu inayoitwa ‘Shangwe popote ukiwa na M-Pesa'.

No comments:

Post a Comment