Kupitia muunganiko huu, wateja wataweza kufurahia huduma zote wanazozipenda za Vodacom kwenye aplikesheni moja, hivyo kuongeza ufanisi na urahisi wa matumizi.
Kama sehemu ya mabadiliko haya, My Vodacom App itasitishwa rasmi tarehe 1 Desemba 2024.
Tunawahimiza wateja wote kupakua na ku-update M-Pesa Supa App ili kuendelea kufurahia huduma zetu bila usumbufu.
Hatua hii inadhihirisha dhamira yetu ya kuboresha huduma kwa wateja kupitia suluhisho za kibunifu.
Asante kwa kuichagua Vodacom Tanzania.
Hatua hii inadhihirisha dhamira yetu ya kuboresha huduma kwa wateja kupitia suluhisho za kibunifu.
Asante kwa kuichagua Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment