| SHANGWE LA SIKUKUU! Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Biashara kutoka Vodacom Tanzania, Brigita Shirima (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa ‘Shangwe Popote Ukitumia M-Pesa’ uliofanyika kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment