Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926_270926

Absa Banner_170926_270926

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Monday, 25 November 2024

UZINDUZI WA MASHINDANO YA VODACOM TANZANIA OPEN 2024

Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Mhe. Amir Mkalipa akipiga mpira wa golf ikiwa ni alama ya uzinduzi wa mashindano ya Vodacom Tanzania Open 2024 ambapo mdhamini mkuu ni kampuni ya Vodacom Tanzania Plc. Wanaoshuhudia ni Rais wa Chama cha Golf Tanzania, Gilman Kasiga (wa kwanza kulia) na Mkuu wa Idara ya Suluhisho za Kibiashara (Enterprise Solution) wa kampuni hiyo, Ali Zuheri (wa pili kulia).

No comments:

Post a Comment