Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Tuesday, 22 October 2024

MSHINDI WA 'NI BALAA' AKIZAWADIWA HUNDI YAKE NA VODACOM

Meneja Mauzo na Mkakati wa Biashara wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom, Caleb Majo (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa Shilingi milioni 20 wa Ni Balaa! Kila mtu ni mshindi kwa kanda hiyo Abdulfadhili Birro, ambaye pamoja na kiasi hicho cha pesa, mshindi huyo atapata nafasi ya kuchagua Shule ya Msingi itakayoboreshewa mazingira ya kusomea (maktaba) ili kuwawezesha wanafunzi wa shule hiyo kusoma kwa utulivu zaidi.

No comments:

Post a Comment