Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 2 September 2024

VODACOM YATANGAZA WASHINDI WA DRAW YA KAMPENI YA NI BALAA

Mshindi wa wiki ya tano wa kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi' Salehe Samweli (wa pili kulia), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa kampuni hiyo, Abednego Mhagama (kushoto), katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Endelea kufanya miamala kwa kutumia M-pesa Super App au piga *150*00# pamoja na kununua vifurushi ili kujiongezea nafasi ya kushinda.
Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom Tanzania, Bw. Abednego Mhagama (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa droo ya tano ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi kutoka kampuni hiyo Bi. Upendo Eliamringi (wa pili kulia) katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala kwa kutumia M-Pesa super App au kununua vifurushi kwa kupiga kupiga *150*00#.
Ni Balaa! Mshindi wa droo ya tano ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Mpale Ephraim (wa pili kulia), akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa kampuni hiyo, Abednego Mhagama (kushoto) katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wa Vodacom wanajiongezea nafasi za kushinda kila wakinunua vifurushi au kufanya miamala kupitia M-pesa Super App.
Meneja wa Vodashop Uhindini-Mbeya, Nelson Mchau akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa droo ya tano ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi, Brigita Osman katika hafla iliyofanyika dukani hapo mwishoni mwa wiki. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala na kununua vifurushi kwa kutumia M-Pesa super App. Ni balaa.
Ni Balaa! mshindi wa droo ya tano ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Rusia Lidisoni (kulia), akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Abednego Mhagama (kushoto) katika hafla iliyofanyika kwenye duka la Vodacom Uhindini Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Ikiwa ni mwendelezo wa kampeni hiyo ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala na M-Pesa super App au nunua vifurushi kwa kupiga *150*00#.

No comments:

Post a Comment