- Benki ya NMB imegharamia ujenzi wa skuli hii na uwekaji wa samani (ikiwemo viti, meza na madawati) kwa asilimia 100 kwa gharama ya Shilingi Milioni 800.
- Skuli ina madarasa matano na itaweza kupokea wanafunzi 200 kwa wakati mmoja. Pia imejumuisha ofisi za waalimu, sehemu ya michezo ya watoto na miundombinu mingine.
Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Wednesday, 21 August 2024
NMB YAWEZESHA MILANGO KUWA WAZI KWA WATOTO KUFIKIA NDOTO ZAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment