Waziri Mkuu akitazama namna utoaji wa mafunzo ya teknolojia na masomo ya sayansi kwa wanafunzi wa kike kupitia programu ya ‘Code Like a Girl’. |
- Waziri Mkuu avutiwa na programu za Vodacom Tanzania za ‘Vodacom Digital Accelerator’ na ‘Code Like a Girl’, na kuahidi serikali kuwekeza nguvu zaidi ili kuwanufaisha Watanzania wengi nchini kote.
- Mkutano wahudhuriwa pia na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mh. Nape Nnauye.
- Mkutano wawakutanisha wadau, wafanyabiashara, na kampuni zinazotumia ubunifu wa kidigitali kutoka na kimataifa kuhamasisha mchango wa teknolojia na matumizi ya kutatua changamoto tofauti zinazokabili jamii nchini.
- Mkutano huo umefanyika kwa siku mbili mfululizo, Februari 15 na Februari 16, 2024 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar Es Salaam.
- Washiriki zaidi ya 1000 wajitokeza huku washirika tofauti wakishiri kuonyesha huduma na bidhaa zao za kibunifu ikiwemo Vodacom Tanzania, MassChallenge, Ericson, Huawei, the Funguo Project – UNDP, Stanbic Business Incubator, European Business Group, Inventions Technologies na wengineo.
Waziri Mkuu akipewa maelezo kuhusu uhalifu wa kimtandao. |
Waziri Mkuu akipewa maelezo kuhusu programu ya Vodacom Digital Accelerator. |
Waziri Mkuu akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkutano wa Future Ready Summit. |
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Philip Besiimire akishiriki mmojawapo wa mjadala kuhusu masuala ya teknolojia. |
Washiriki wa wakiendelea na mjadala kuhusu mada tofauti zinazohusu masuala ya teknolojia. |
Miongoni mwa washiriki wa mkutano wa mkutano, wakiwa katika banda la washirika waliojitokeza. |
Baadhi ya washiriki wakifuatilia wazungumzaji (hawapo pichani) wa mijadala tofauti kuhusu mada zinazohusu masuala ya teknolojia. |
No comments:
Post a Comment