Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Wednesday, 7 February 2024

UNGANA NASI "NMB PESA DAY" TAREHE 10 FEBRUARI 2024



Mbagala mpooo?

Tulishasema Haachwi Mtu na sasa tunatimba Mbagala kuhakikisha Haachwi Mtu kweli kwenye NMB PESA DAY!

Ungana nasi viwanja vya Zakhem, siku ya Jumamosi, 10 Februari 2024 kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni kushuhudia burudani ya kutosha kutoka kwa wasanii mbalimbali.

Usingoje kupewa stori, njoo ushiriki vibe la NMB PESA DAY!

#HaachwiMtu
#NMBKaribuYako

No comments:

Post a Comment