Jambo la kibingwa linaenda kutangazwa asubuhi hii kutokea Makao Makuu ya Benki ya NMB.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Azam TV, Mitandao ya Kijamii na App ya Yanga, na Vyombo vingine vya habari kuanzia saa nne kamili asubuhi leo.
#NMBKaribuYako
#TimuYaWananchi
No comments:
Post a Comment