Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 4 December 2023

WASHINDI WA SBL MAOKOTO NDANI YA KIZIBO

Saidi Bahari (kulia), mkazi wa Dar es Salaam akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh 500,000 kutoka kwa Moza Rajabu (kushoto), Meneja mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) kanda ya Mbagala kwenye droo ya sita ya MAOKOTO NDANI YA KIZIBO iliyochezeshwa mwishoni mwa wiki.
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo mzunguko wa sita, Moses Chuzi (kulia) kutoka Nzega mjini mkoani Tabora, akipokea mfano wa hundi yake kutoka kwa Afisa Mauzo wa Serengeti Breweries Nzega/Igunga, Samuel Mugassa kwenye hafla iliyofanyika katika bar ya Grand Villa.

No comments:

Post a Comment