Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 4 December 2023

MKAZI WA DAR AJISHINDIA PIKIPIKI YA Y9 MICROFINANCE

Meneja Masoko wa Taasisis ya Kifedha ya Y9 Microfinance, Bi. Sophia Mang’enya (kulia), akikabidhi zawadi ya pikipiki kwa mshindi wa droo ya nane, Bw. Anold Jacob ambae aliibuka mshindi wakati wakuchezesha droo hiyo wiki iliyopita ikiwa ni muendelezo wa Taasisi hiyo kutoa zawadi kila wiki kwa wateja wake wa Pakua APP ya Y9 na ukope na ulipe kwa wakati ili kuingia kwenye droo na ushine zawadi ya simu janja na pikipiki. Hafla ya makabidhiano hayo yamefanyika nyumbani kwa kina Anold Kinondoni Manyanya jijini Dar es Salaam. Na baada ya wiki mbili itachezeshwa droo kubwa ambapo mshindi atajinyakulia Gari mpya kabisa Toyota IST.
Meneja Masoko wa Taasisi ya Kifedha ya Y9 Microfinance, Bi. Sophia Mang’enya (kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya pikipiki kwa mshindi wa droo ya saba, Anold Jacob ambae aliibuka mshindi wakati wakuchezesha droo hiyo wiki iliyopita ikiwa ni muendelezo wa Taasisi hiyo kutoa zawadi kila wiki kwa wateja wake wa Pakua APP ya Y9 na ukope na ulipe kwa wakati ili kuingia kwenye droo na ushinde zawadi ya simu janja na pikipiki. Hafla ya makabidhiano hayo yamefanyika nyumbani kwa kina Anold Kinondoni Manyanya jijini Dar es Salaam na baada ya wiki mbili itachezeshwa droo kubwa ambapo mshindi atajinyakulia Gari mpya Toyota IST.
Mshindi wa pikipiki wa Pakua APP ya Y9 Microfinance ushinde, Bw. Anold Jacob akionesha ufunguo wa pikipiki mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Masoko wa Taasisis ya Kifedha ya Y9 Microfinance, Bi. Sophia Mang'enya wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya pikipiki kwa mshindi wa droo ya nane. Na baada ya wiki mbili itachezeshwa droo kubwa ambapo mshindi atajinyakulia Gari mpya Toyota IST.
Mshindi wa pikipiki wa Pakua APP ya Y9 Microfinance ushinde, Bw. Anold Jacob akionesha plate namba na kadi ya pikipiki mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Masoko wa Taasisis ya Kifedha ya Y9 Microfinance, Bi. Sophia Mang'enya wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya pikipiki kwa mshindi wa droo ya nane. Na baada ya wiki mbili itachezeshwa droo kubwa ambapo mshindi atajinyakulia Gari mpya Toyota IST.

No comments:

Post a Comment