Mshindi wa pesa taslimu shilingi milioni 10 kupitia kampeni ya Vodacom Tanzania PLC inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, Bi. Ester Skayanga (katikati) akiwa ameshikilia mfano wa hundi aliyokabidhiwa na Masta Shangwe (aliyevalia kofia ngumu) pamoja na Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom Tanzania, Bi. Happiness Shuma (wa pili kushoto) katika viwanja vya Uyole jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo. |
No comments:
Post a Comment