Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo (kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mipango ya Benki hiyo, Muondakweli Kaniki alipofika kuripoti rasmi kwenye nafasi ya kuongoza Benki hiyo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TCB. Wengine pichani ni Mkurugenzi Rasilimali Watu wa Benki hiyo, Bi. Diana Myonga. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni Makao Makuu ya TCB jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Mipango ya Benki hiyo, Muondakweli Kaniki alipofika kuripoti rasmi kwenye nafasi ya kuongoza Benki hiyo baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TCB. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki hiyo Bi. Diana Myonga, Mkurugenzi aa Uendeshaji, Karoli Shayo, Mkurugenzi wa Sheria, Bi. Mystica Ngongi. Hafla hiyo ilifanyiaka hivi karibuni Makao Makuu ya TCB jijini Dar es Salaam.Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Benki hiyo, Bi. Diana Myonga wakati alipokwenda kuripoti kushika nafasi ya kuongoza Benki hiyo. Wengine pichani ni maafisa wa TCB.Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Foreign Exchange Rates
Selcom Pesa Advert_110225
Standard Chartered Advert_300125
DStv Advert_090724
Tuesday, 5 December 2023
ADAM MIHAYO AANZA KAZI RASMI TCB BANK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment