Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Thursday, 26 October 2023

WASHINDI NANE KAMPENI YA "MAOKOTO CHINI YA KIZIBO

Meneja wa Chapa ya Serengeti Premium Larger na Serengeti Lite - Ester Raphael akiwa na Balozi wa Maokoto Ndani ya Kizibo, Bill Nas Mapema wiki hii wakati wakitangaza washindi Nane (8) wa kwanza ambao ni Washindi wa kampeni ya "Maokoto Chini Ya Kizibo" Rajabu Bakari, Waziri Jamali, Amina Haji, Joachim Kimario, Angel Edward, Melina Fransis, Geofrey John and Mudy Selemani Kibiki walioshinda laki tano kila mmoja.

No comments:

Post a Comment