| Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance, Dkt. Elirehema Doriye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano, Karim Meshack (kushoto) na Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Lihami Masoli (kulia) kusherehekea kwa kampuni hiyo ya serikali kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki. |
No comments:
Post a Comment