Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Monday, 12 June 2023

VODACOM YAENDESHA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WANAFUNZI JIJINI DODOMA

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Joseph Sayi (kushoto) akimkabidhi cheti mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Miyuji, Pendo Swalehe (kulia) wakati wa kufunga mafunzo ya wiki moja ya kuwajengea uwezo wa masomo ya TEHAMA wanafunzi wa kike yaliyofanyika jijini Dodoma kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab) yajulikanayo kama ‘Code Like a Girl’ yaliyokamilika mwishoni mwa wiki. Programu hiyo ilianza 2018, ambapo zaidi ya wanafunzi wa kike 1,700 wamefaidika na mafunzo mbalimbali ikiwemo ‘coding’ na kujengewa hamasa ya kupenda masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi, na hisabati (STEM).

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Joseph Sayi (kushoto) akiwakabidhi zawadi ya mabegi wanafunzi waliofanya vizuri wakati wa kufunga mafunzo ya wiki moja ya kuwajengea uwezo wa masomo ya TEHAMA wanafunzi wa kike yaliyofanyika jijini Dodoma kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab) yajulikanayo kama ‘Code Like a Girl’ yaliyokamilika mwishoni mwa wiki. Programu hiyo ilianza 2018, ambapo zaidi ya wanafunzi wa kike 1,700 wamefaidika na mafunzo mbalimbali ikiwemo ‘coding’ na kujengewa hamasa ya kupenda masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi, na hisabati (STEM).


Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Joseph Sayi (nyuma) akitazama wanafunzi wa kike wakitumia kompyuta wakati wa kufunga mafunzo ya wiki moja ya kuwajengea uwezo wa masomo ya TEHAMA wanafunzi wa kike yaliyofanyika jijini Dodoma kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab) yajulikanayo kama ‘Code Like a Girl’ yaliyokamilika mwishoni mwa wiki. Programu hiyo ilianza 2018, ambapo zaidi ya wanafunzi wa kike 1,700 wamefaidika na mafunzo mbalimbali ikiwemo ‘coding’ na kujengewa hamasa ya kupenda masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi, na hisabati (STEM).

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Joseph Sayi (kushoto) akizungumza na wanafunzi waliofanya vizuri wakati wa kufunga mafunzo ya wiki moja ya kuwajengea uwezo wa masomo ya TEHAMA wanafunzi wa kike yaliyofanyika jijini Dodoma kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab) yajulikanayo kama ‘Code Like a Girl’ yaliyokamilika mwishoni mwa wiki. Programu hiyo ilianza 2018, ambapo zaidi ya wanafunzi wa kike 1,700 wamefaidika na mafunzo mbalimbali ikiwemo ‘coding’ na kujengewa hamasa ya kupenda masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi, na hisabati (STEM).

No comments:

Post a Comment