By Godwin Jaha Semunyu
Marathoners have a special way of teaching us about endurance and defying limits. Eliud Kipchoge's world record redefined human boundaries, while John Akhwari's superhuman finish in Mexico in 1968, despite injury, a dislocated knee, inspires.
In our everyday lives, we require this resolute spirit and mentality to confront challenges head-on. Ultimately, life unfolds as a marathon, demanding our enduring commitment and steadfastness to reach our goals.
NBC Dodoma Marathon 2023. Here for improved maternal health:
We are excited to invite you to the upcoming fourth edition of the NBC Dodoma Marathon on Sunday, July 23, 2023, in Dodoma.
This extraordinary event is dedicated to generating funds for enhanced maternal health through cervical cancer awareness initiatives and providing valuable scholarship opportunities to aspiring midwifery scholars in Tanzania.
Raising Awareness for Cervical Cancer:
Cervical cancer claims the most lives among women in developing countries, often due to late-stage diagnoses stemming from limited awareness and inadequate screening.
To combat this dire situation, we have partnered with the Ocean Road Cancer Institute (ORCI) to amplify awareness efforts. Our goal is to reach a broader audience, encourage regular screenings, and offer financial aid for medical expenses.
Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Wednesday, 28 June 2023
WAZIRI NAPE AZINDUA OFISI YA KISASA YA VODACOM JIJINI DODOMA
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ofisi hiyo mpya ya kisasa makao makuu ya nchini mkoani Dodoma, Mheshimiwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari, Mh. Nape Nnauye amepongeza jitihada hizo zikiwa zinalenga kuwasogezea Watanzania huduma bora na za uhakika popote walipo kama serikali inavyofanya kuhamishia baadhi ya shughuli zake katika makao makuu ya nchi ili kuwapunguzia usumbufu wa kusafiri umbali mrefu mpaka Dar es Salaam.
Friday, 23 June 2023
HUDUMA YA NBC CONNECT YAGONGA HODI MKOANI DODOMA
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa huduma ya NBC Connect inayowezesha kufanya miamala kwa urahisi kwa njia ya kidigitali. Hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo ilifanyika jijini Dodoma. |
Dodoma Juni 21, 2023: Makampuni pamoja na taasisi mbali mbali ambazo ni wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara ya (NBC) mkoani Dodoma, sasa wanaweza kupata uzoefu mpya wa huduma za kibenki kupitia huduma ya kibenki kwa njia ya kidigitali inayojulikana kama ‘NBC Connect’
NBC Connect, ni huduma ya kisasa ya kidigitali kwa makampuni na taasisi mbali mbali, ambayo huwezesha huduma salama za kibenki kufanyika sehemu yoyote, muda wowote kwa njia ya mtandao.
Huduma hii ni sehemu ya mchango wa benki katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuongeza ujumuifu katika huduma za kifedha (financial inclusion) kwa makundi mbali mbali.
Uzinduzi wa huduma ya NBC Connect Dodoma, ni wa tatu baada ya uzinduzi uliofanyika kanda ya nyanda za juu kusini jijini Mbeya na wa Kanda ya ziwa uliofanyika Mwanza.
USIKOSE ORIGINO KOMEDI NDANI YA MAISHA MAGIC POA
Jumapili hii ndani ya Origino Komedy, maji yamepanda bei, mganga wa kienyeji anaumbuka......
#Unakosaje visa vya Origino Komedi ndani ya Maisha Magic Poa, 144?
Piga *150*53# kulipia kifurushi chako cha Poa TShs 10,000 tu.
#tvnidstv
WATEJA WA TOTALENERGIES KURUDISHIWA 10% KUPITIA USHIRIKIANO NA LIPA KWA M-PESA
Dar es Salaam - Juni 21, 2023: Kupitia dhamira ya kuendeleza mfumo wa maisha wa kutotumia pesa taslimu nchini, huduma ya M-Pesa ya Vodacom na TotalEnergies Marketing Tanzania Limited wamezindua ushirikiano wa kimkakati ili kuwawezesha wateja kufanya malipo bila ya kutumia pesa taslimu kwa usalama na urahisi katika vituo vyote vya kutolea huduma vya TotalEnergies.
Kupitia ushirikiano huu mpya, wateja watafurahia faida tofauti ikiwemo kurudishiwa 10% ya pesa watakapolipia kwa kutumia M-Pesa kwa siku 15 zijazo. Ofa hii itaendelea mbele zaidi kwa kila Jumamosi kwa miezi mitatu ijayo. Zaidi ya hapo, kupitia ushirikiano huu, pia wateja watapata huduma ya M-Pesa kwa shughuli za kibiashara ikiwamo kuweka, kutoa, na kutuma pesa wakiwa katika katika vituo vya kutolea huduma vya TotalEnergies.
Ushirikiano wa TotalEnergies na huduma ya M-Pesa ya Vodacom umekuja katika muda muafaka, sio kuwapa Watanzania njia rahisi na ya uhakika ya kutumia pesa bali pia kuunga mkono jitihada za kidigitali za serikali hususani kuchochea mabadiliko kuelekea kwenye uchumi wa kidigitali ambapo bado matumizi ya pesa taslimu yanaendelea kutumika na kukubalika maeneo mengi nchini kote.
Wednesday, 21 June 2023
AIRTEL KICKS OFF 5G ROLL OUT IN 3 COUNTRIES
Lagos, June 20, 2023: Airtel Africa, a leading provider of telecommunications and mobile money services with a presence in 14 countries across Africa, today in Nigeria began rolling out 5G network to deliver an enhanced experience to its customers.
The 5G network will initially go live in three countries starting in Nigeria and followed by Tanzania and Zambia, with plans underway to rollout in the rest of the markets.
With 5G, customers can now enjoy immersive real-time gaming, streaming live content among other uses on the ultra-fast, ultra-reliable network for home internet. The greater and seamless connectivity will also power businesses, particularly those that run on web-based applications as well as facilitate virtual meetings.
USIKOSE TAMTHILIA YA JUA KALI JUMATANO HADI IJUMAA NDANI YA MAISHA MAGIC BONGO
Maria na Frank ❤️ linazidi kutaradadi, Eva anamwambia Suzy mjini hapafai je Suzy atakubali kubaki kijijini?
Usikose Tamthilia ya Jua Kali Jumatano hadi Ijumaa ndani ya Maisha Magic Bongo, 160 saa 3:30 usiku... Umelipia?
Piga *150*53# kulipia kifurushi cha BombaTShs 23,000 tu ufurahie tamthilia hii @dstvtanzania pekee.
#TvniDStv
#Unakosaje
BENKI YA STANDARD CHARTERED KUKAMILISHA HATUA ZA FEDHA ZA MRADI WA SGR
Na Peter Haule, WFM, Dodoma
Benki ya Standard Chartered ipo katika hatua za mwisho za utaratibu wa kupata fedha kwa ajili ya ujenzi wa vipande vilivyobakia vya reli ya kisasa kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR) ikiwa ni pamoja na kipande cha Makutopora-Tabora, Tabora-Isaka, Isaka-Mwanza na kipande cha kuanzia Tabora hadi Kigoma.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered anayesimamia nchi za Afrika na Mashariki ya Kati, Bw. Sunil Kaushal.
Dkt. Nchemba alisema kuwa Tanzania na Benki ya Standard Chartered, imekuwa na ushirikiano mzuri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ya reli ambayo inaendelea vizuri.
“Tumekuwa na majadiliano kuhusu vipande vya reli ambavyo taratibu za kupata fedha zilikuwa hazijakamilika kikiwemo kipande cha Makotopora-Tabora, Tabora-Isaka, Isaka-Mwanza na kipande cha kuanzia Tabora hadi Kigoma”, alisema Dkt. Nchemba
Tuesday, 20 June 2023
VODACOM YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO MAKUNDUCHI, ZANZIBAR
Monday, 19 June 2023
JIUNGE NA UENDELEE KUBURUDIKA NA DStv
Mapinduzi makubwa katika tasnia…
Kaa tayari kwa tamthilia nzuri yenye kusisimua ya Wimbi itajayoanza tarehe 03 Julai kupitia chaneli ya Maisha Magic Bongo 160 ndani ya DStv pekee!
Lipia mapema kifurushi cha Bomba TShs 23,000/= tu ili usikose burudani hii.
@dstvtanzania
#TVNiDStv
#Unakakosaje
SERENGETI BREWERIES RECEIVES AN AWARD FOR CLEAN WATER PROJECTS
Bankrolling water projects with the sole purpose of bringing about relief to water stressed areas in the country, has been one of SBL’s key targets as part of the brewer’s corporate social responsibility initiatives for the past 13 years. To date, SBL has funded implementation of a total of 24 water projects in various parts of the country, something that has ultimately provided free, clean and safe water to more than 2,000,000 Tanzanians.
SBL’s commitment in funding water projects is in line with the brewer’s ‘Water of Life’ pillar whereas SBL has set itself a goal of enabling the provision of free, clean and safe water in water stressed areas. Recognising the significance of establishing strategic partnerships in project implementation, SBL has been partnering with Water Aid Tanzania, an NGO that specializes in provision of clean water, decent sanitation and good hygiene.
SBL’s commitment and immense investments in the sector is what attributed the brewer to scoop an award of recognition from the government and Water Aid Tanzania as the best private sector organisation that leads the way in initiatives for WASH for sustainable return to the community. Prime Minister, Kassim Majaliwa, who was representing President Dr. Samia Suluhu Hassan, handed over the award to SBL which was represented by SBL Communications and Sustainability Manager, Rispa Hatibu. The occasion took place on June 13th in Dar es Salaam.
VODACOM NA SILABU WASHIRIKIANA KUWEZESHA MASOMO MTANDAONI
Katika jitihada za kujenga jamii ya kidigitali inayounganisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii kwa ubunifu wa kiteknolojia, Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na SILABU wamezindua huduma itakayowarahisishia Watanzania kujifunza masomo na taaluma mbalimbali kwa ngazi tofauti nchini kwa njia ya mtandao muda na mahali popote walipo.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika ofisi za Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH), Kamishna wa Elimu - Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Dr. Lyabwene Mutahaba amepongeza jitihada za Vodacom na SILABU kwa ubunifu wa huduma ya kujifunza mtandaoni inayoendana na mahitaji ya soko la elimu nchini na duniani kote kwa sasa.
“Elimu ya sasa haitulazimishi kuwepo moja kwa moja darasani ili tuweze kujifunza. Uwepo wa nyenzo za kidigitali unarahisishia wanafunzi na watu wa taaluma mbali mbali kujisomea na kujifunza kwa njia ya mtandao. Ongezeko la vifaa vya kidijiti kama simu janja, kompyuta na vishkwambi pamoja na miundominu ya intaneti vinaendelea kuwa chachu ya mapinduzi ya kidijitali katika sekta ya elimu. Niipongeze Vodacom kwa hatua hii kwani nimefahamishwa kuwa SILABU ni matokeo ya programu ya ‘Vodacom Digital Accelerator’, ambayo huzisaidia kampuni changa za kibunifu zinazotumia teknolojia kutatua changamoto zinazoikumba jamii yetu ya Watanzania,” alisema Dr. Mutahaba.
VODACOM YAZINDUA DUKA JIPYA LA HUDUMA KWA WATEJA SONGWE
Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom Tanzania PLC, Happines Shuma akizungumza wakati ya ufunguzi wa duka la huduma kwa wateja katika Mji wa Mkwajuni Wilayani Songwe Mkoani Songwe. |
Baadhi ya wateja wakipewa huduma katika duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Tanzania PLC lililo zinduliwa katika Mjia wa Mkwajuni Wilayani Songwe Mkoani Songwe mwishoni mwa wiki. |
BENKI YA DCB YAZIDI KUJIIMARISHA KIMTAJI NA KUENDELEA KUPATA FAIDA
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Alexander Sanga akifungua Mkutano Mkuu wa 21 wa Mwaka wa Wanahisa wa benki hiyo jijini Dar es Salaam. |
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Isidori Msaki akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Mwaka wa Wanahisa wa benki hiyo jijini Dar es Salaam. |
Sehemu ya wanahisa wa Benki ya DCB wakihudhuria Mkutano Mkuu wa 21 wa Mwaka wa Wanahisa wa benki hiyo, jijini Dar es Salaam. |
Benki ya Biashara ya DCB imeendelea kujivunia kuongezeka kwa mtaji wake huku ikijiendesha kwa faida inayoongezeka kila mwaka licha ya changamoto kadhaa za kiuchumi, wanahisa wa benki hiyo wameelezwa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa 21 wa Mwaka wa Wanahisa wa DCB, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Alexander Sanga alisema benki yao ipo imara kimtaji unaofikia kiasi cha Shs 28.5 bilioni unaovuka vigezo vya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) vya Shs 15 bilioni vilivyowekwa kwa benki za biashara.
“Benki yetu ilipata faida baada ya kodi ya Shs 747 milioni kwa mwaka 2022, faida iliyochangiwa na mapato yasiyotoka na riba ya Shs 10.3 bilioni ambayo ni mafanikio ya asilimia 111 ya malengo tuliyojiwekea kwa mwaka 2022, huku mapato yatokanayo na riba yakifika Shs 28.6 bilioni ikiwa ni asilimia 86 ya malengo tuliyojiwekea".
NMB YATENGA BILIONI 2.5 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE
Benki ya NMB yaacha Alama!
Kama ishara na kumbukumbu ya kuadhimisha miaka 25 ya mafanikio, NMB imetoa TShs. bilioni 2.5 kwa ajili ya kujenga Shule ya mfano katika eneo na Mkoa atakayoelekeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Dkt. Samia Suluhu Hassan. NMB inaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuinua sekta ya Elimu nchini.
#Miaka25YaNMB
#NMBKaribuYako
#Miaka25YaNMB
#NMBKaribuYako
NMB YATOA GAWIO LA BILIONI 45.5, RAIS SAMIA APONGEZA
Benki ya NMB imetoa gawio la TShs. Bilioni 45.5, ikiwa ni gawio kubwa zaidi kuwahi kutolewa na Taasisi ya kifedha kwa Serikali. Gawio hili kwa serikali ni kiashiria tosha cha Azma yetu ya kuhakikisha tunaleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wetu wote, ikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UBONGO LAUNCHES NEW SHOW "NUZO AND NAMIA" TO PROMOTE INCLUSIVE LEARNING AND CELEBRATE DIVERSE AFRICAN CULTURES
Friday, 16 June 2023
TANZANIA VS NIGER #AFCON2023 JUMAPILI HII NDANI YA DStv!!!
Tanzania ndani ya michuano ya kufuzu #AFCON2023 na mechi ya kwanza watacheza dhidi ya Niger katika viwanja vya nyumbani.
@dstvtanzania wanakupa kutazama mtanange huu LIVE kupitia chaneli ya SuperSport 225 ndani ya kifurushi cha Poa TShs 10,000/= tu.
Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi ili usikose burudani hii.
Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi ili usikose burudani hii.
#TVNiDStv
#Unakosaje
#Unakosaje
Subscribe to:
Posts (Atom)