| Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mh. Felician Mtahengerwa (katikati) akizungumza na wateja na wageni (hawapo pichani) waliohudhuria uzinduzi duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Aim Mall jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Wakifuatilia uzinduzi huo kushoto ni Mkuu wa kanda Kanda ya Kaskazini wa kampuni hiyo, Bw. George Venanty Pamoja na meneja wa duka hilo, Bw. Davis Christian (kulia). Mkuu huyo wa Wilaya alisisitiza umuhimu wa ufanisi na ubora hasa katika kuchochea huduma za mawasiliano vijijini pamoja na kuchochea shughuli za utalii. |
No comments:
Post a Comment