Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 21 April 2023

SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA VODACOM FOUNDATION ZAIUNGANISHA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MBEYA NA M-MAMA

  • Serikali kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania Foundation zaiunganisha Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya na M-mama
  • Mfumo wa m-mama wafungwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya kurahisisha usafiri wa dharura kwa wajawazito
  • M-mama kurahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa wajawazito mkoani Mbeya
  • Wakazi wa Mbeya waaswa kutumia ipasavyo m-mama kusaidia vifo vitokanavyo na ucheleweshwaji wa usafiri wa dharura kwa wajawazito

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Dkt. Mashaka Juma (kulia) akimpatia maelezo Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Ernest Hinju (katikati) pamoja na Afisa Mkuu wa TEHAMA kutoka Wizara ya Afya, Jackson Shayo (kushoto), kuhusu namna kituo cha mawasiliano cha mfumo wa m-mama kitakavyorahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura ili kuokoa maisha ya wajawazito na Watoto wachanga. Uzinduzi wa huduma ya m-mama ulifanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ikiwa ni ushirikiano wa serikali ya Tanzania, Vodacom Tanzania Foundation, Pathfinder, Touch Foundation na USAID.


Afisa Mkuu wa TEHAMA kutoka Wizara ya Afya, Jackson Shayo akitoa maelezo kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Ernest Hinju, kuhusu namna kituo cha mawasiliano cha mfumo wa m-mama kitakavyorahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura ili kuokoa maisha ya kina mama wajawazito na Watoto wachanga. Uzinduzi wa huduma ya m-mama ulifanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ikiwa ni ushirikiano wa serikali ya Tanzania, Vodacom Tanzania Foundation, Pathfinder, Touch Foundation na USAID.


Meneja wa m-mama kutoka taasisi ya Vodafone Foundation, Rahma Bajun akielezea kuhusu namna kituo cha mawasiliano cha mfumo wa m-mama kitakavyorahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kuokoa maisha ya kina mama wajawazito na Watoto wachanga kwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Dkt. Darama Paschal (kushoto), Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa, Bw. Ernest Hinju (katikati), na Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt. Mashaka Juma (kulia). Uzinduzi wa huduma ya m-mama ulifanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ikiwa ni ushirikiano wa serikali ya Tanzania, Vodacom Tanzania Foundation Pathfinder, Touch Foundation na USAID.


Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom Tanzania PLC Happiness Shuma akisikiliza namna ambavyo mfumo wa m-mama utaokoa maisha ya akina mama Wajawazito na Watoto Wachanga wakati wa uzinduzi wa mfumo huo Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Uzinduzi wa huduma ya m-mama ulifanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ikiwa ni ushirikiano wa serikali ya Tanzania, Vodacom Tanzania Foundation, Pathfinder, Touch Foundation na USAID.

FACTS ON TANGA CEMENT PLC ACQUSITION


On the Tanga Cement PLC’s 68.33% shares being acquired by ScanCem issue, there are so many debates which are misconnected and not well explained to make the public and Tanzanians understand about the whole process and their benefits to the stakeholders, in cement industry and the public at large.

Due to concerns and complaints from the other players as well as the so-called consumer advocacy concerning market dominance, that the acquisition between Tanga Cement and Scancem International Da, will create market dominance of one player, the dominance which will give more than the legal threshold of 35%; This isn’t true.

If one does simple research which doesn’t need much investment, to just look at the cement plants in Tanzania, fully integrated and the griding plants, the number is big. These plants produce more than what the country can consume. In other words, there’s more supply than demand for now. So there is no way that one player can dominate the market which is full of producers.

Thursday, 20 April 2023

WAZIRI MAZRUI APONGEZA JITIHADA ZA VODACOM KULETA MAENDELEO KWA JAMII KATIKA HAFLA YA IFTAAR VISIWANI ZANZIBAR

  1. Waziri Mazrui apongeza jitihada za Vodacom kuleta maendeleo kwa jamii katika hafla ya Iftaar Visiwani Zanzibar.
  2. Waziri Mazrui apongeza mchango wa Vodacom kwenye kuboresha sekta ya afya Zanzibar
  3. Waziri Mazrui apongeza jitihada za m-mama kurahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa wajawazito Zanzibar
  4. Waziri Mazrui ashiriki Iftar Pamoja na wateja wa Vodacom visiwani Zanzibar
  5. Vodacom yapongezwa kwa jitihada za kupeleka maendeleo Zanzibar
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mheshimiwa Nassor Mazrui ameipongeza kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuleta maendelo kwa jamii. Waziri Mazrui alisema hayo jana wakati wa Iftar ya pamoja iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wateja na washirika wake visiwani Zanzibar.


“Niwapongeze Vodacom kwa kuwa mdau wa maendeleo na kwa kipekee zaidi napenda kutambua mchango wao mkubwa katika kuimarisha afya ya mama na mtoto kupitia mchango wa vifaa tiba pamoja na mfumo wa m-mama ambao tunatekeleza kwa pamoja hapa visiwani,” alifafanua Mh Mazrui.


Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B, Mh. Hamida Mussa amesisitiza wajibu wa sekta binafsi katika kuwawezesha wateja na wananchi huku akiipongeza kampuni ya Vodacom kwa mchango wao katika masuala ya afya, elimu, na biashara.

TREASURY REGISTRAR MCHECHU ANNOUNCES MAJOR REFORMS

  • To increase productivity
  • Update public institutions, organisations and agencies business plans
  • Scale up non-tax collections to 1.2tri/- by 2025/26
  • Improve ICT systems
  • 1.1tri/- capital required for public institutions

Treasury Registrar, Nehemiah Mchechu addresses Board Chaipersons and CEO's of Government owned institutions and agencies during a meeting organised by his office in Dar es Salaam yesterday.

The Treasury Registrar (TR), Nehemiah Mchechu has announced major reforms in the office, with the aim of transforming the performance of public institutions, organisations and agencies in their daily operations.



He said the reforms will also increase productivity and enable the entities to timely remit their dividends, increase their investment capital as well as reduce dependency on the central government.



The TR made the statements yesterday during his meeting with the board chairpersons and Chief Executive Officers (CEO’s) of public agencies, institutions and other statutory corporations.



According to him, the reforms will look at various areas, such as reviewing and updating the institution’s business plans, suggesting amendments that have to be made in improving efficiency as well as improving the Information Communications Technology (ICT) systems.



He also tasked the public institutions to ensure effective fulfilment of their legal requirement of paying reasonable dividend to the government, while continuing to implement their core roles and reduce dependency.

KAMPENI YA MITI MILIONI YA BENKI YA NMB YATUA TABORA



Benki ya NMB inaendelea kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia kampeni ya #MitiMilioni nchi nzima, na wiki jana waliadhimisha athma hio mkoani Tabora kwa ajili ya mikoa ya kanda yake ya magharibi kwa kupanda zaidi ya 3,000 katika kambi ya Magereza Kazima.


Zoezi hili la upandaji miti liliongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Rogath Mboya, aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa, Balozi Dkt. Batilda Burhan.

Pia walikuwepo watendaji wa Mamlaka ya Huduma za Misitu Tanzania (TFS).


Taasisi hiyo ndiyo inayoratibu zoezi zima la mradi wa NMB wa kuikijanisha Tanzania.

Wednesday, 19 April 2023

VODACOM YAUNGANA NA SERIKALI KUBORESHA SEKTA YA AFYA NCHINI

Waziri wa Afya, Mh. Ummy Mwalimu (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa kupokea majokofu sita ya mnyororo wa baridi yenye thamani ya shilingi milioni 600 kutoka kwa Vodacom Tanzania Foundation na Vodacom Group ambayo yatatumika kuhifadhia chanjo hivyo kuimarisha mpango wa Taifa wa chanjo nchini. Pamoja naye kushoto ni Mwenyekiti wa Vodacom Tanzania Foundation, Harriett Lwakatare na kulia ni Mkurugenzi wa Fedha kutoka Vodacom Tanzania, Hilda Bujiku.

Waziri wa Afya, Mh. Ummy Mwalimu (katikati) akizindua majokofu sita ya mnyororo wa baridi yenye thamani ya shilingi milioni 600 yaliyosaidiwa na Vodacom Tanzania Foundation na Vodacom Group ambayo yatatumika kuhifadhia chanjo hivyo kuimarisha mpango wa Taifa wa chanjo nchini. Pamoja naye kulia ni Mwenyekiti wa Vodacom Tanzania Foundation, Harriett Lwakatare na kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha kutoka Vodacom Tanzania, Hilda Bujiku.


Dar es Salaam 17 Machi 2022: Wizara ya Afya na Vodacom Tanzania wamekabidhi vyumba vipya 6 baridi ambavyo vitatumika kuhifadhia chanjo. Vifaa hivyo ambavyo vina thamani ya zaidi ya TZS 600 Milioni vilivyotolewa na Vodacom Tanzania Foundation na Vodacom Group, vitahakikisha chanjo zinahifadhiwa kwa usalama hivyo kuimarisha mpango wa Taifa wa chanjo nchini.


Msaada huo uliotolewa na Vodacom Foundation na Vodacom Group umekuja katika wakati ambao bara la Afrika linapitia changamoto za uhifadhi wa chanjo kwenye nchi mbalimbali. Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya duniani (WHO), kanda ya Afrika kwenye nchi 34 za Afrika umebaini kuwa, katika asilimia 31 ya nchi hizo, zaidi ya asilimia 50 ya wilaya zake zina changamoto za usambazaji wa chanjo kutokana na ukosefu wa vifaa vya kuhifadhia madawa hayo.


Usimamizi wa mnyororo mzima wa vifaa baridi ni sehemu muhimu ya kuhakikisha usambazaji salama na mzuri wa chanjo. Chanjo zinahitaji majokofu imara ambayo yanakidhi mahitaji fulani ya joto, kutoka mahali pa utengenezaji hadi hatua ya mwisho ya usambazaji. Ikiwa mnyororo huu utavunjika wakati wowote inaweza kuathiri ufanisi mzima wa chanjo na kuzifanya zisiwe na uwezo za kuzuia maradhi.

VODACOM YAONDOA TOZO KUTUMA NA KUTOA PESA KUPITIA KAMPENI YAKE YA 'ZAIDI YA MTANDAO'

Mkuu wa Kanda ya Mauzo ya Dar es Salaam wa Vodacom Tanzania, Bi. Brigita Shirima akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya ‘Zaidi ya Mtandao’ kwa wateja waliojitokeza katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini kote, Vodacom iliwajulisha wateja wake wapya kuwa sasa wanaweza kutuma na kutoa pesa bila ya tozo kwa miamala chini ya shilingi 50,000.


DJ machachari kwa sasa nchini, DJ Ally akiwaburudisha wananchi waliojitokeza wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya ‘Zaidi ya Mtandao’ kwa wateja katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini kote, Vodacom iliwajulisha wateja wake wapya kuwa sasa wanaweza kutuma na kutoa pesa bila ya tozo kwa miamala chini ya shilingi 50,000.

Wakala wa Vodacom Tanzaniza akimuunganisha mteja mpya aliyejitokeza wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya ‘Zaidi ya Mtandao’ kwa wateja katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini kote, Vodacom iliwajulisha wateja wake wapya kuwa sasa wanaweza kutuma na kutoa pesa bila ya tozo kwa miamala chini ya shilingi 50,000.

Dar es Salaam – Aprili 13, 2023: Katika jitihada za kuhakikisha jamii za Watanzania zinaendelea kunufaika na huduma bora za teknolojia na mawasiliano nchini kote, Vodacom Tanzania PLC imezindua kampeni mpya ijulikanayo kama ‘Zaidi ya Mtandao’ na kuwajulisha wateja wake wapya kuwa sasa wanaweza kutuma na kutoa pesa bila ya tozo kwa miamala chini ya shilingi 50,000.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania Plc, wakati wa uzinduzi uliofanyika katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam, Bi. Brigita Shirima ameelezea kuwa kampeni hii mpya ni muendelezo wa namna ambavyo kampuni hiyo yenye Mtandao Supa nchini inagusa maisha ya kila siku ya Watanzania kwenye sekta tofauti za kijamii na kiuchumi kupitia huduma na bidhaa bunifu za kidigitali.

Kampeni ya Zaidi ya Mtandao inahamasisha Watanzania kujiunga na mtandao supa ulioenea nchi nzima na wenye kasi ya 5G. Wateja pia watafurahia vifurushi vya bei nafuu na huduma kemkem za M-Pesa.

VODACOM YAZINDUA PROGRAMU MAALUM YA TUZO KWA MAWAKALA WA MAUZO, KUWAPELEKA AFRIKA KUSINI

Mkuu wa Idara ya Uwezeshaji wa Kibiashara (HOD Commercial Acquisition) wa Vodacom Tanzania Plc, Grace Chambua akizungumza na mawakala wa mauzo (hawapo pichani) wa kampuni hiyo wakati wa uzinduzi wa programu maalum ya tuzo kwa mawakala hao ikiwemo kujishindia safari ya kwenda Afrika ya Kusini. Uzinduzi huo ni sehemu ya kampeni mpya inayojulikana kama ‘Zaidi ya Mtandao’ uliofanyika jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini kote.

Mawakala wa mauzo wa Vodacom Tanzania kutoka sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa programu maalum ya tuzo kwa mawakala wa mauzo ikiwemo kujishindia safari ya kwenda Afrika ya Kusini. Uzinduzi huo ni sehemu ya kampeni mpya inayojulikana kama ‘Zaidi ya Mtandao’ uliofanyika jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini kote.

Dar es Salaam – Aprili 13, 2023: Kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua programu maalumu ya tuzo kwa mawakala wa usajili (freelancers) ambapo programu hii kabambe itawazawadia mawakala wake bora zawadi kemkem ikiwemo safari ya kwenda nchini Afrika Kusini mwisho wa mwaka.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu hiyo Mkurugenzi wa Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania Plc, Bi. Linda Riwa amesema kuwa, kwa kutambua mchango mkubwa wa mawakala wake na katika kuwajengea ari ya kufanya kazi kwa bidii, wameamua kuja na programu ya tuzo mahususi kwa ajili yao itakayowawezesha kujinyakulia zawadi mbali mbali kadri wanavyozidi kufanya vizuri katika utendaji wao.

“Tunajivunia kuendelea kuwa kampuni bora ya teknolojia na mawasiliano kupitia ubunifu wa kidigitali unaonufaisha jamii ya Watanzania nchini kote. Leo tunapenda kutambulisha programu yetu mpya ijulikanayo kama "Vodacom Stars" inayolenga kuwanufaisha mawakala wetu wa usajili, ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru kwa kuwa wanafamilia wa Vodacom na vile vile kuwawezesha kiuchumi kwani Vodacom ni zaidi ya mtandao,” alisema Bi Riwa.

TANZANIA SIGNS RARE EARTHS DEALS WITH AUSTRALIAN FIRMS


The Tanzanian government on Monday signed contracts worth $667 million (610 million euros) with three Australian companies to mine for graphite and rare earths.

The framework agreements are part of a push by President Samia Suluhu Hassan to boost the mining sector's contribution to Tanzania's economy to at least 10 percent by 2025.

The deals were signed at a ceremony in the capital Dodoma with Evolution Energy Minerals, EcoGraf Ltd and Peak Rare Earths.

"It's the hope of Tanzanians that the implementation of these projects will start soon and contribute to the economy," Hassan said.

Tanzania will have a 16 percent stake in each of the projects, according to the head of the government's negotiating team Palamagamba Kabudi.

Western nations are looking to reduce their dependence on China for rare earths -- 17 heavy metals which are crucial for electronics such as smartphones, computers and batteries as well as the cutting-edge technologies that could reduce reliance on fossil fuels.

DCB ELIMU MPANGO MZIMA NA MAMA SAMIA YAZIDI KUPAA

Ofisa Elimu Manispaa ya Temeke, Abdul Buhety (kushoto), akipokea msaada wa madawati 30 Kwa niaba ya Shule ya Msingi Sandali kutoka Kwa Kaimu Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, Ruth Mpangalala yaliyotolewa na benki hiyo, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kusaidia elimu ya DCB Elimu Mpango Mzima na Mama Samia katika hafla iliyofanyika shuleni hapo, Temeke, jijini Dar es Salaam.

Msimamizi wa Huduma za Wateja na Masoko wa Benki ya DCB, Elizabeth Ntulu (kulia), na Ofisa Mahusiano wa Benki hiyo, Dalila Issa (kushoto), wakikabidhi sehemu ya madawati 30 yaliyotolewa na DCB kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Sandali kupitia kampeni yao ya DCB Elimu Mpango Mzima na Mama Samia, shuleni hapo, temeke, Dar es Salaam.

Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya DCB, Caroline Gabriel (kulia) katika hafla ya makabidhiano ya msaada wa madawati 30 yaliyotolewa na DCB kwa Shule ya Msingi Sandali kupitia kampeni yao ya DCB Elimu Mpango Mzima na Mama Samia, shuleni hapo, Temeke, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Kamati ya Wazazi wa Shule ya Msingi Sandali, Yohana Ndunguru (kushoto), akipokea msaada wa madawati 30 Kwa niaba ya shule hiyo kutoka Kwa Kaimu Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, Ruth Mpangalala yaliyotolewa na benki hiyo, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kusaidia elimu ya DCB Elimu Mpango Mzima na Mama Samia katika hafla iliyofanyika shuleni hapo, Temeke, jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Shule ya Msingi Sandali, Bakari Jaribu, akizungumza katika hafla hiyo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Biashara wa DCB, Ruth Mpangalala, Ofisa Elimu wa Manispaa ya Temeke, Abdul Buhety na Mwenyekiti wa Kamati ya Wazazi wa shule hiyo, Yohana Ndunguru.

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Sandali wakimpa mkono wa shukurani Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya DCB, Ruth Mpangalala baada ya kukabidhiwa msaada wa madawati.

STANBIC BANK AND UNDP JOIN FORCES TO ENHANCE ACCESS TO CAPITAL AND BUSINESS DEVELOPMENT SERVICES FOR TANZANIAN STARTUPS AND MSMEs

UNDP Resident Representative, Ms. Christine Musisi (second left) and Stanbic Bank Tanzania Chief Executive, Mr. Kevin Wingfield (right) sign a Memorandum of Understanding (MoU) that seeks to enhance access to capital and business development services for Tanzanian startups and MSMEs through the UNDP Funguo Programme and Stanbic Business Incubator. Also Pictured are: Kai Mollel, Head of Stanbic Business Incubator (right) and Joseph Maniraliza, UNDP Funguo Project Manager.

Dar es Salaam, Tanzania, April 2023 – Stanbic Bank and UNDP Tanzania have announced a strategic partnership to enhance access to capital and business development services for Tanzanian startups and MSMEs. The partnership, under their respective initiatives, the Stanbic Business Incubator and the Funguo innovation Programme aims to improve the quality of business development services offered by different providers and innovation enablers to youth and women-led startups and early-stage businesses, as well as to promote and support an enabling environment for start-ups, innovators, and MSMEs.



The collaboration seeks to provide technical assistance, linkages, and exposure to potential investors and funders, thus enhancing MSMEs and Startups’ chances of accessing diverse sources of capital. UNDP Tanzania and Stanbic Bank Tanzania will leverage their respective ongoing initiatives and engage their existing partners where applicable to add value to this collaboration.

The official signing of the MOU to signal the beginning of the partnership took place at a breakfast event attended by key Tanzanian innovation ecosystem stakeholders, startups founders within the FUNGUO Portfolio, representatives of MSMEs associated with Stanbic Biashara Incubator, and the media. The event also marked the kick-off of the first joint activity, a two-day training workshop on “Fundamentals of Capital Raising for Startups and Innovative MSMEs”

The partnership aligns with Goal 17 of the United Nations Sustainable Development Goals, which emphasizes partnerships for sustainable development. UNDP Tanzania and Stanbic Bank Tanzania recognize that collaboration is essential in catalyzing the Tanzanian innovation and entrepreneurship ecosystem, and they are committed to working together to drive sustainable development through partnership.

Monday, 17 April 2023

WASHINDI 12 WAJIZOLEA ZAWADI NONO NA ‘NMB BONGE LA MPANGO’

Droo ya kwanza ya msimu wa tatu wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde iitwayo 'NMB Bonge la Mpango - Moto Ule Ule,' ikiwa imefanyika tarehe 13 Aprili 2023 na kushuhudia washindi 12 wakijinyakulia zawadi zenye thamani ya Sh. milioni tano, kati ya Sh. milioni 180 zinazoshindaniwa katika wiki 12 za kampeni hiyo.


Katika droo hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Stella Mafuwe ambaye ni mkazi wa Babati mkoani Manyara alijinyakulia bodaboda.

NMB Bonge la Mpango ilizinduliwa Machi 29 mwaka huu na Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha, chini ya kaulimbiu ya 'Moto Uleule - #Hatupoi'. Kauli mbiu hiyo inalenga kuhamasisha uwekaji akiba, kurejesha kwa jamii sehemu ya faida, huku pia ukiwa ni mkakati wa NMB kuendelea kuwa chaguo la kwanza la wateja kwa usalama wa fedha zao pamoja na uhakika wa huduma bora za kibenki.

CHELSEA VS REAL MADRID KWENYE MICHUANO YA UEFA


Hatua ya Robo fainali kwenye michuano ya UEFA chàmpionship inaendelea ndani ya @dstvtanzania pekee.

Baada ya Real Madrid kuifunga Chelsea unadhani Jumanne hii Chelsea watarudisha au watapata kipigo tena?

Na kupitia kifurushi cha Compact Plus utafurahia mechi hii.

Piga *150*53# kulipia mapema usipitwe.

#MsimuwaSokaLaKibabe

KAMPENI YA UPANDAJI MITI YAWA KIVUTIO IFTAR YA NMB BUNGENI


Kampeni ya Benki ya NMB ya kuongeza miti milioni moja katika ajenda ya serikali ya kuyatunza mazingira na kupambana na athari za tabia nchi imewakosha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Wakiongozwa na Spika Dkt Tulia Ackson, wawakilishi hao wa wananchi bungeni wameisifu taasisi hiyo kwa mradi huo mkubwa na wa kipekee nchini wengi wakisema ni wakizalendo na wenye manufaa makubwa kwa maendeleo ya taifa na maisha ya viumbe hai kwa ujumla.


Bunge limeahidi kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wake na kuhakikisha kampeni hiyo ya kuikijanisha Tanzania inazaa matunda yaliyokusudiwa.


Wabunge hao walibainisha azma hiyo mwishoni mwa wiki jana baada ya kuvutiwa na uwekezaji huo na kuobwa na uongozi wa NMB kusaidia kuipeleka kampeni hiyo majimboni mwao.


Benki hiyo iliomba ushirikiano wa Bunge na wajumbe wake kwenye hafla ya Iftar ambayo iliiandaa Ijumaa bungeni ikiwa ni mwendelezo wa utamaduni wake wa kushirikiana na waumini wa dini ya Kiislamu kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Friday, 14 April 2023

ABSA BANK FETES ITS DODOMA CUSTOMERS TO SPICE UP RAMADHAN

Absa Bank Tanzania Managing Director, Obedi Laiser (right), serves an iftar dish to some of the bank’s customers during an iftar gala organized by Absa for its Dodoma customers on Wednesday.

Absa Bank Tanzania Citizenship Manager, Hellen Siria (right), serves an iftar dish to Dodoma Region Kadhi, Sheikh Kisusu Mvumbi at
an iftar gala organised by Absa for its Dodoma customers on Wednesday. On Sheikh Mvumbi's right is Dodoma District Commissioner, Jabir Shekimweri.


Absa Bank Tanzania Dodoma Branch Manager, Innocent Mwamcha (right), serves an iftar meal to some of the bank's potential customers
during the iftar function.

Absa Bank Tanzania Head of Retail Banking, Ndabu Lilian Swere (right), serves an iftar dish to some of the bank’s customers.

Absa Bank Tanzania Head of Business Banking, Melvin Saprapasen (right), serves an iftar dish to some of the bank's customers.

Dodoma District Commissioner, Jabir Shekimweri (left), addresses Absa Bank customers and staff members during the iftar function.

A cross- section of Absa Bank Dodoma customers enjoy their meal during the iftar gala organized by the bank in the city on Wednesday.