Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 3 March 2023

UMEBIMA? USISUBIRI YAKUKUTE! KATA BIMA NA NMB

Unastahili uhakika na usalama wa chombo chako kila unapokuwa barabarani!

Kwa kuendelea kuwajali na kuwathamini Watanzania, Benki ya NMB ikishirikiana na makampuni ya Bima, inatoa huduma ya bima ya gari au chombo cha moto kwa lengo la kutoa kinga dhidi ya hasara itokanayo na ajali, wizi, uharibifu na majeraha ya mwili/ kifo kwa mtu mwingine.

Ukikata bima na NMB, wamerahisisha njia ya kutoa taarifa ya ajali, huku wakihakikisha wanafuatilia na kukupa maendeleo ya madai yako ili uyapate kwa muda mfupi sana.

Unachohitaji ni;
  • Nakala ya kadi ya chombo na kitambulisho halali
  • Picha za chombo kwa wakati huo
  • Thamani ya chombo
Tembelea tawi lolote la NMB karibu yako ukate bima ya gari sasa!

#TelezaNaHii #Umebima #NMBKaribuYako

No comments:

Post a Comment