| Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Philip Besiimire na Mkuu wa Shule ya Sekondari Dodoma Francis Tumaini wakifungua pazia ili kuzindua darasa la Tehama ambalo limewekewa vifaa na kampuni hiyo. Vifaa hivyo ni kompyuta 15, meza 15, viti 15, televisheni moja, kifushi cha intaneti kwa mwaka mmoja ambapo msaada huu umegawiwa ili kuwawezesha wanafunzi kujifunza kidijitali lakini pia kuwawezesha wanafunzi kusoma somo la Kompyuta ikiwa ni katika kuunga mkono jitihada za serikali za kuipeleka Tanzania kwenye ulimwengu wa kidijitali. |
No comments:
Post a Comment