Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 24 October 2022

BENKI YA DCB YAJIZATITI KUTOA HUDUMA BORA ZA KIBENKI KWA NJIA ZA KIDIGITALI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Nelson Swai akitoa mada kuhusu masuala ya fedha zinazovuka mipaka Kidigitali na ujumuishi wa kifedha barani Afrika jijini Dar es Salaam kwa baadhi ya wamiliki chipukizi wa mifumo ya Tehama wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya ufunguaji wa akaunti za benki za mtandaoni katika nchi mbalimbali na kufanya miamala kwa sarafu yoyote kwa makato madogo kwa kutumia proramu ya Grey ipatikanayo playstore na Appstore. Bwana Nelson alisema DCB imejizatiti katika matumizi ya teknolojia za kisasa katika utoaji wa huduma za kibenki.

Mkurugenzi wa Uendeshaji na Tehama wa Benki ya Biashara ya DCB, Nelson Swai (kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa mada kuhusu Masuala ya fedha zinazovuka mipaka kidigitali na ujumuishi wa kifedha barani Afrika wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya ufunguaji wa akaunti za benki za mtandaoni katika nchi mbalimbali na kufanya miamala kwa sarafu yoyote kwa makato madogo kwa kutumia proramu ya Grey ipatikanayo playstore na Appstore. Kushoto kwake ni Meneja Miradi wa Ecobba, Bi. Idabente Winfried, Mkurugenzi wa Laina Finance, Tonny Missokia na Mwanzilishi wa Jukwaa Afrika, Baraka Mafole. Bwana Nelson alisema DCB imejizatiti katika matumizi ya teknolojia za kisasa katika utoaji wa huduma za kibenki.
Mkurugenzi wa Uendeshaji na Tehama wa Benki ya Biashara ya DCB, Nelson Swai (katikati) akizungumza na baadhi ya wamiliki chipukizi wa mifumo ya Tehama wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ufunguaji wa akaunti za benki za mtandaoni katika nchi mbalimbaki na kufanya miamala kwa sarafu yoyote kwa makato madogo kwa kutumia proramu ya Grey ipatikanayo playstore na Appstore. Bwana Nelson alisema DCB imejizatiti katika matumizi ya teknolojia za kisasa katika utoaji wa huduma za kibenki.
Mmoja wa wamiliki wa mifumo ya Tehama chipukizi (startup) akiuliza swali kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Benki ya DCB, Nelson Swai (hayupo pichani) mara baada ya kutoa mada kuhusu masuala ya fedha zinazovuka mipaka Kidigitali na ujumuishi wa kifedha barani Afrika katika hafla ya uzinduzi wa huduma za kufungua akaunti za benki za mtandaoni kwenye nchi mbalimbali na kufanya miamala kwa sarafu yoyote kwa makato madogo kwa kutumia proramu ya Grey ipatikanayo playstore na Appstore. Bwana Nelson alisema DCB imejizatiti katika matumizi ya teknolojia za kisasa katika utoaji wa huduma za kibenki.

No comments:

Post a Comment