Uzi huu hapa na ni wa moto🔥
Motivation uliyokuwa unaisubiri ndio hii hapa na usisubiri mpaka tiketi ziishe, daka yako mapemaa!
Jisajili kupitia marathon.nmbbank.co.tz ➡️ Lipia➡️ Sogea Mlimani City tarehe 28 Septemba uchukue jezi yako yakujidai Leaders Club - Oktoba 1.
#Fistulalnatibika
#MwendoWaUpendo
No comments:
Post a Comment