Ijumaa hii Italy itakipiga dhidi ya England ambao walikipiga kwenye fainali za Euro 2020, Italy ikaibuka na ushindi! Je leo hii ni taifa gani litaibuka na ushindi kwenye michuano ya #UNL?
Ni ndani ya Poa TShs 10,000 tu utaweza kushuhudia mchuano huu Live kupitia @DStvtanzania pekee.
Lipia kifurushi chako kwa kupiga *150*53#
#msimuwasokalakibabe
No comments:
Post a Comment